Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

Mbona ata msafara wa Simba navYanga huwa unasafishiwa njia na trafiki
 
tofautisheni chama dola na chama cha kawaida
huyu anazunguka kukagua aliyoyaahid kama yametelekezwa na selikali kupitia watumishi wake

ni haki yake
Kwani lazima mtumishi wa umma kuwa mwanachama wa siasa?

Kwanini anatumia watumishi wa umma kwenye mikutano ya kisiasa?
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Huu sasa ni wivu!, mtu yoyote anaweza kuomba kusafishiwa njia, sio lazima wale wa ving'ora tuu!. Cha muhimu ni kutoa tuu taarifa!. Hata Mondi na Harmo wakitimba Kariakoo, wanasafishiwa njia itakuwa Konda Boy!.

P
 
Wewe unaona kimaadili au kwa taratibu za utumishi wa umma ni sawa Kwa kada wa chama flani kuandamana na watumishi wa umma muda wa kazi hata kuwaamrisha kwenye mikutano yake?
 
Ni sehemu ya kazi ya usalama barabarani kama kuna msafara wenye magari mengi ni wajibu wao kuongoza njia ili iwe rahisi kwa wengine kutumia Barabara.
Hii iko wazi inatokeaga hata kwenye maharusi/sherehe kubwa zenye wingi wa magari.
Hata maandamano ya Chadema yalisindokizwa na Polisi wakati Wao sio watumishi wa serikali
 
Chadema Wana laana ya kumpinga shujaa Magufuli Makonda asionewe wivu
 
Kuna mengi Konda Boy anakosea, mtumishi wa umma hawajibiki kwa Konda Boy, ila Konda Boy amejielevete as if yeye ndiye... Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Sasa kama unatambua hilo kwanini unapongeza ubakwaji wa sheria hata kama anayoyafanya yanavutia watazamaji?
Umejaribu kuwaza endapo kinyume chake tutakuwa tunatengeneza taifa la watu gani pasipo kufuata misingi ya ya sheria na utawala bora?
 
Kuna mengi Konda Boy anakosea, mtumishi wa umma hawajibiki kwa Konda Boy, ila Konda Boy amejielevete as if yeye ndiye... Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Unakumbuka hata akiwa RC alifanya yale yale ambayo machoni yalionekana kama hayana shida lakini kikanuni za utumishi alikuwa anakosea!
Unakumbuka alivyokuwa akiingia Yard za watu kuchukua magari ya kifahari na kuyabandika plate number za RC DSM?

Watu na waandishi habari wanaopongeza mambo ya yasiyofuata sheria wakiitwa Machawa na watafta Ulaji (Bahasha) Tutakuwa tunawakosea?
 
Yaan vitu unavyopambana navyo havina maana !!

Hatuna umeme
Hatuna maji
maisha magumu
mfumuko wa bei
uharifu umeongezeka

Unakuja kutuambia habar za makonda ss !! Hebu jishikirie
 
Wamelipia..
Watuoneshe barua ya kuomba jeshi la polisi liwasafishie njia, watuoneshe malipo ya ulinzi waliyolipia! Watuoneshe barua hizo!

Kwanini nchi yetu tunaprnda sana kuishi kwa hisia pasipo kuzingatia taratibu na sheria?
 
Habari wadau

Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!

Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!

Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!

Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!

Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Yaani ccm sijui wanajiona kama kundi gani kwenye jamii ya watanzania
 
Back
Top Bottom