Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

Je, hao uliowataja wamewahi kumfikisha mahakamani au hata polisi?
Mbona unakuwa fala sana wewe kenge?
Hawa watu ni machoko na wa binafsi sana! Majibwa tu na hawana maajabu roho zinawauma sana kumuona Makonda anashine wanatama Samia amwodoe lakini wapi!
 
wewe ni mjinga sana akili yako imejaa funza makonda ni mtu mhimu Sana katika Taifa hili hana muda wa kujibu hoja za kijinga na pia kujibizana na wapumbavu muda huo hana kabisa yuko busy kulijenga Taifa la Tanzania thamani yake ni kubwa hawezi kujishushia heshima kujibizana na kikundi cha wajinga wanaotumwa na wachaga wenye wivu na wenza

IQ Ya Makonda ni kubwa kuliko viongozi wote wa Chadema ni ukweli usiopingika kwamba makonda ni Kijana ambaye tunasubiria muda tu tumpe Urais wa nchi kwa ajili ya kufanya Makubwa kwa nchi kuliko kujibizana na wajinga wajinga wenye akili mbwebweto kama wewe
Kwa maana hiyo hata Wamarekani ni wapumbavu na wenye wivu kama Wachaga?? Makonda kwisha habari yako ni suala la muda tu.
 
Je, hao uliowataja wamewahi kumfikisha mahakamani au hata polisi?
Mbona unakuwa fala sana wewe kenge?
Yaani unataka mtu mkubwa kama Lisu ama GSM, taaisi kubwa kama Cloudsmedia, na serikali kubwa kama Marekani waanze kuhangaika na kibaka Makonda??
 
Lisu ana kubwa gani? Mtu mwenye maneno mengi na kuongea hovyo ndo mkubwa!
 
Mkuu nenda mahakamani ukafungue kesi binafsi dhidi ya Makonda!
Unayo haki kisheria! Ukisubiri Serikali imkamate na kukfikisha Mahakamani labda CCM ikitoka madarakani.
 
Je, hao uliowataja wamewahi kumfikisha mahakamani au hata polisi?
Mbona unakuwa fala sana wewe kenge?
Polisi na mahakama ipi? Hizi hizi mahakama zinazoendeshwa na ilani ya ccm?
 
Lisu ana kubwa gani? Mtu mwenye maneno mengi na kuongea hovyo ndo mkubwa!
Ukubwa haupimwi kwa maneno. Ukubwa unapimwa kwa "tija ya akili".

Kumbe ndiyo maana Makonda huwa anabwabwaja sana akidhani kwamba kwa kufanya hivyo ataonekana mkubwa??
 
wewe Bams unateteaga ujinga ujinga tu hujitambui kisa kwenu Machame ndio Mbowe katokea
Unapiga ramli? Kama kungekuwa na donge nono la kulipwa kwa kubashiri Bams ni mtu wa wapi, wewe siyo tu ungelikosa hilo donge nono, bali ungekosa na kutakiwa kulipa.

Pia, ebu fafanua, ni ujinga gani Bams huwa anatetea? Weka mifano ili hoja yako ipate nguvu.
 
Back
Top Bottom