Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?



Hizo hela huchukuliwa tu hata kama sio kwa sababu ya Makonda, ccm ni cancer.
 
Indaiwa .... umeshaharibu mzee
Mbona jana pale rwamishenyi tumeona ni bodaboda na wanannchi weng tu sijawaona hao watumish wa taasisi unazosema.
 
Kuchanga shilingi laki 5 ili kumpokea mwizi, mtekaji na mpiga watu risasi inahitaji moyo sana.

Akifika hapo Chato atoe maelezo ni lini atarejesha nyumba ya GSM qliyoipora.
hahaa Babu yako ni marehemu pia alikuachia laaana mayala wewe jizi fisadi vyeti feki kahba shg wewe
 
Mmeanza tena. Hamtaki kuona msukuma anapewa post nyeti. Itabidi mvumilue Tu. Angekuwa kawekwa wa kaskazini hapo mngekuwa mnakenua Meno. Kwa taarifa yako katika siasa za nchi hii huwezi ukaikwepa Kanda ya ziwa na kutarajia kufanikiwa kisiasa. Pole Sana.
 
Makonda kawekwa hapo kwa kazi maalum. Kila analofanya, sema ama fanyiwa ni kwa baraka za waliomuweka.

Ila jambo moja ambalo waliomuweka Makonda hawajalifahamu ni kwamba, Makonda ni mithili ya jini. Ukienda kwa mganga ukaambiwa unapewa jini la utajiri kwa masharti ya kumpa kuku kila mwaka, amini kuwa ni swala la muda tu hilo jini litadai damu ya mtu.

Makonda ni kama mnyama pori, hafugiki. Utamchezea simba uliemfuga sharubu lakini ipo siku instincts zake za unyama pori zita kick in na ataishia kukutafuna.

CCM imecheza kamari, kuna mawili Makonda kuimarisha chama zaidi ama kupelekea anguko lake la mwisho. Time will tell.
 
Kura za Kanda ya ziwa, na kuwavuta wafuasi wa jiwe ambao bado wamelala matanga, Kanda ya ziwa Ina wapiga kura wengi
Si watashinda tu bila hata hizo kura zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…