Makonda: Nilimuambia Lissu kama utani asimshambulie Mwigulu kwa sababu ni Waziri anayetoka "kwao" na amefuata maelekezo yangu

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Katika mahojiano yaliyofanyika mkoani Arusha ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Makonda alisema alimuambia kama utani Tundu Lissu asimshambulie Mwigulu Nchemba kwa sababu ni Waziri anayetoka kwao (Singida) na Lissu alifuata hayo maelekezo yake kwa maana hakuna hata siku moja amewahi kumshambulia Mh. Mwigulu Nchemba.
 
Ila yeye alipoombwa cheti cha form four akaufyata hadi leo.?
 
Mwigulu sasa anasagiwa sumu... ngoja tuone mzee wa kuhamia Burundi kama atagombaniwa kama corner za yanga na akina Manyere.
 
Hili bwabwa limeamua kuwa comedian siku hizi na watu na akili zao wanaliamini.
 
Baada ya Wana wa Kulamba asali anayefuatia ni Yanga Bingwa πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu bwana mdogo amemzidi Lisu kisiasa hata kama hatutaki
 
Makonda anataka kumng'oa Mwigulu, alitaka Lisu amshambulie Mwigulu kwa kosa lipi?
 
Mwigulu aliingiaje ktk mjadala

Makonda Bure kabisa
Zero 🧠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…