"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.
Majibu ya hapo kwa hapo huwa ni sinema tu mara nyingi za kuwalainisha watu.Ama kwa hakika leo nime enjoy sana wala sijaumia bando.nime enjoy kuona wenye kero wakiitwa na kupewa majibu hapo kwa hapo.hio ndio michakato hat sis bawaacha tunapenda sana.
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.
"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.
Jambo TV
Msije mkaanza kusema tu mnatukanwa.Hapo kuna jiwe limerushwa gizani muda si mrefu tutasikia kelele za lililompata
Kazi ya kumwaribia kwa wananchi, utaifanya vizuri sana.
Hakuna shaka juu ya hilo.
Matusi makubwa sana kwa wana CCM, yaani katika CCM yote wakiwepo wabunge,mawaziri,Wakuu wa mikoa na Wilaya na kada zote wameshindwa kumsaidia Rais ila Paul Makonda pekee ndiye mwenye uwezo huo. Kwani yeye na Rais wana siri gani hiyo ??????
Wacha ubwegeAcha Nongwa.
Watajuta kumpa mhuni chama atawavuluga.Makonda amesema kwamba ndani ya CCM Kuna chura, na kwamba chura hao humpigia kelele Mwenyekiti wa CCM, ninavyojua viongozi waandamizi wa CCM ni Kinana, Dk Mwingi, na Chongolo, je hao ndio wanampigia kelele Samia?