Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV

Hao chura ni waNEC wastaafu na GSM
 
Hakupaswa kuyasema haya hadharani kwani ni kumvunjia heshima ya usiri wa uongozi Kwa mwenyekiti wake , afungwe kizibiti maneno mapema kabla hajaweka mapengo makubwa miongoni mwa wanachama.
Hivi Makonda ameshindwa elezea mafanikio ya chama katika kukuza uchumi, upatikanaji wa Nishati Kwa unafuu na iliyo Bora, Ujenzi wa miundombinu , Huduma Bora za afya , uimara wa ulinzi na usalama wa nchi na mengineyo . Akishtuka na kuitumia vizuri nafasi aliyopewa Kwa awamu hii atakuwa hazina nzuri na funzo Kwa mabadiliko ya vijana kutokana na maono ya watawala.
Wangekuwa wanataka mtu wa kuongea haya wangekuchagua wewe.
Anachoongea ndicho walichomtuma.
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Kumbe anatoa maelekezo kutoka Kwa Mwenyekiti 🤣🤣
 
Kazi ya kumwaribia kwa wananchi, utaifanya vizuri sana.
Hakuna shaka juu ya hilo.
Hakuna ch kumwaribia anachofanya ndicho watu wa kawaida wanataka ,haiwezekani viongozi wamepewa dhamana harafu wanaishi kumdhulumu Wananchi Sasa atawafichuo wote.

Leo amesema anaenda Ardhi walikomdhulumu yule bibi akawaalnyooshe
 
Kwenye Kamati Kuu jina lililopendekezwa lilikia na Charamila lakini Mh Rais akaja na jina ambalo hakuna alietegemea ni Makonda, na wengi walipinga mpaka Mh Rais alipotaka watu wapigwe kura za wazi ndipo Makonda akaibuka kidedea kwa Kuta Moja zaidi
 
😂😂😂

Navalonge swela
 
Wangekuwa wanataka mtu wa kuongea haya wangekuchagua wewe.
Anachoongea ndicho walichomtuma
Hadi mwenyekiti ameingia na jina la mteule mfukoni Sisi majina yetu yataishia Kwa wajumbe wa shina tu, uenda hajatumwa kuongea hayo na viongozi wake inakuwa kama penzi jipya anajiachia tu Kwa kupata kuaminika. Tusubili upepo wa siku za usoni kuthibitisha kama ni yeye au ametumwa.
 
Huyu banamdogo asipojitafakari fresh hizo kauli zake na kupunguza mihemko kufika uchaguzi mkuu hicho chama kitakuwa kimepasuka pasuka vipande vipande.
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.

"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.

Jambo TV
Lakin msemo wa kiswahili huu.miaka na miaka dahari. Wahebga walisema kelele za chura hazimzuii mwenye nyumba kulala.
Je leo mtu akitumia msemo wa wahenga unautafsir vipi? Misemo ipo na itakukuwepo. Jaribu kuwa unasikiliza kwa umakin na kuchambua mambo
 
Back
Top Bottom