nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 664
- 1,050
Kimenuka huko!!
Kwahiyo anamaanisha huko kamati kuu wamejazana Vyura ukimtoa Mwenyeki?
Vyura+chawa=CCMCCM Kuna vyura na chawa.
Haki za mashoga unamaanisha?Serikali ya Marekani ilikurupuka kumwekea zuio la kuingia US kwa sababu ya rekodi yake ya kuvunja Haki za Binadamu?
Nielimishe
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.
"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.
Jambo TV
Wangekuwa wanataka mtu wa kuongea haya wangekuchagua wewe.Hakupaswa kuyasema haya hadharani kwani ni kumvunjia heshima ya usiri wa uongozi Kwa mwenyekiti wake , afungwe kizibiti maneno mapema kabla hajaweka mapengo makubwa miongoni mwa wanachama.
Hivi Makonda ameshindwa elezea mafanikio ya chama katika kukuza uchumi, upatikanaji wa Nishati Kwa unafuu na iliyo Bora, Ujenzi wa miundombinu , Huduma Bora za afya , uimara wa ulinzi na usalama wa nchi na mengineyo . Akishtuka na kuitumia vizuri nafasi aliyopewa Kwa awamu hii atakuwa hazina nzuri na funzo Kwa mabadiliko ya vijana kutokana na maono ya watawala.
Huwa namsikiliza askofu Gwajima juu ya Paul Kila kitu kipo bayana it's just matter of time...Imani ilienda wapi Kwani? Na Lini? Maana Kila siku mnajisifia Yale yale
Kumbe anatoa maelekezo kutoka Kwa Mwenyekiti π€£π€£Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.
"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.
Jambo TV
Hakuna ch kumwaribia anachofanya ndicho watu wa kawaida wanataka ,haiwezekani viongozi wamepewa dhamana harafu wanaishi kumdhulumu Wananchi Sasa atawafichuo wote.Kazi ya kumwaribia kwa wananchi, utaifanya vizuri sana.
Hakuna shaka juu ya hilo.
πππKwenye Kamati Kuu jina lililopendekezwa lilikia na Charamila lakini Mh Rais akaja na jina ambalo hakuna alietegemea ni Makonda, na wengi walipinga mpaka Mh Rais alipotaka watu wapigwe kura za wazi ndipo Makonda akaibuka kidedea kwa Kuta Moja zaidi
Kwani Roma Mkatoliki ni shoga?Haki za mashoga unamaanisha?
Hadi mwenyekiti ameingia na jina la mteule mfukoni Sisi majina yetu yataishia Kwa wajumbe wa shina tu, uenda hajatumwa kuongea hayo na viongozi wake inakuwa kama penzi jipya anajiachia tu Kwa kupata kuaminika. Tusubili upepo wa siku za usoni kuthibitisha kama ni yeye au ametumwa.Wangekuwa wanataka mtu wa kuongea haya wangekuchagua wewe.
Anachoongea ndicho walichomtuma
Sijui kuhusu Roma nachofahamu Makonda alipigwa mkwara na US sababu ya harakati zake na Mashoga.Kwani Roma Mkatoliki ni shoga?
Unaumia toka kitongoji gani!? Makonda chapa kaziKazi ya kumwaribia kwa wananchi, utaifanya vizuri sana.
Hakuna shaka juu ya hilo.
Lakin msemo wa kiswahili huu.miaka na miaka dahari. Wahebga walisema kelele za chura hazimzuii mwenye nyumba kulala.Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia.
"Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi," amesema Komredi Makonda.
Jambo TV