Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

Hata kama Taifa stars watavaa jezi za magunia, let them focus kwenye kuleta ushindi.
Haijalishi paka ni mweusi au mweupe, muhimu akamate panya!
Nadhani sasa discussion kubwa iwe, tunaiwezeshaje Taifa stars kuleta ushindi? Na sio maswala ya jezi.
Sawa sana
 
Tatizo deal limepita pembeni watu wanaumia wanataka na wao waongeze cha juu. Ni lini mmesikia serikali inapiga kelele kuhusu jersey za Timu ya Taifa kama sio watu wameona hawajaongeza sifuri kama kwenye ziara ya Rio Ferdinand.
 
Hiyo itakuwa ni kuvunja mkataba alioingia na TFF. Hii inakuwa kama ana kitu personal na jamaa
 
Itakuwa kweli. Anatwambia aliongea na Nike ina maana alianza kuongea na Nike huku akijua kuna mkataba tayari. Unafanyaje mazungumzo ukijua tayari kuna mkataba nadhani hapo ndipo akawaza anauvunja vipi akaja na hizi sarakasi
 
Makonda hata huko wizarani hawamkubali ,sema Sasa watafanyaje? Inabidi wavumilie then mwisho wa mwezi uingie na maisha yaendelee
 
Huyu waziri anaekomalia ubora wa jezi, ndio yeye amepiga picha na jamaa wa mbele huko ameshikilia jezi imeandikwa Samia?
 
Huwezi ukatengeneza jezi mbaya mbovu na isiyovutia kibiashara kwa kigezo cha mkataba, nonsense
Kwani muuzaji ni nani? Waliompa mkataba walimlipa afanye jezi wauze wao au aliweka figure yake kisha ahangaike yeye kwenye mauzo kutafuta pesa zake?
 
Anajua maana ya haki za kimkataba lakini au ni story za vijiweni????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…