Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

Wewe msukule kweli. Sasa suala la wewe kushindwa kutafsiri hotuba ya kiongozi wako CHADEMA inaingiaje? Au CHADEMA ndiyo iliyokuroga na kukutoa ufahamu?
CHADEMA ni manyumbu kwelikweli .kama umeshindwa kuelewa hotuba hiyo ni ngumu sana kukutofautisha na nyumbu.
 
Jaribuni tutafsiri vizuri hiyo kauli kuuumiza mungu wake,dactari samia ,kuwaumiza wananchi kuna mambo matatu hapo
Achana na hilo nyumbu la CHADEMA linaloendelea kushupaza shingo yake kwa jambo ambalo liko wazi kabisa. Hapo kuna sentensi tatu ,halafu huyu nyumbu anaubganisha kuwa sentensi moja kwa ujinga wake na nia yake ovu.
 
Makonda fanya kazi iliyokupeleka huko, acha domo domo.
 
Hakuna muuaji anayelindwa na Mungu.
 
Vipi umepata cherehani?
 
Umeongea point mno,hiyo ni laana na wanatafuta ghadhabu ya Mungu.
Wawakumbuke wana wa israel walipoona Musa anachelewa kule mlimani alipoenda kuzungumza na Mungu wakajitengenezea sanamu kwa kutumia vito vyao vya thamani ili wamwabudu na Mungu akakasirika sana
 
Hili Bashite halina akili kichwani, linachojuwa ni kutoa kauli ili liendelee ku trend kwenye mitandao ya jamii.
 
Atashughulika na yeyote mla rushwa. Hayuko tayari:

1. Kumuumiza Mungu wake;
2. Kumkatisha tamaa Rais Samia;
3. Kuwaumiza wananchi wa Arusha;

...kwa kutotenda haki.

Acha kumlisha maneno RC Makonda. 😎

-Kaveli-
 
Atashughulika na yeyote mla rushwa. Hayuko tayari:

1. Kumuumiza Mungu wake;
2. Kumkatisha tamaa Rais Samia;
3. Kuwaumiza wananchi wa Arusha;

...kwa kutotenda haki.

Acha kumlisha maneno RC Makonda. 😎

-Kaveli-
Mungu anaingiaje kwenye suala la rushwa? Huko shule ulienda kusoma nini?
 
Wewe jamaa unatuletea uongo wa kudanganya chekechea, Ina maana hapo hujasikia kama ameanza kumtaja Mungu, kisha Raisi Samia na akamalizia WananchiπŸ™„
 
Wewe jamaa unatuletea uongo wa kudanganya chekechea, Ina maana hapo hujasikia kama ameanza kumtaja Mungu, kisha Raisi Samia na akamalizia WananchiπŸ™„
Wewe ina maana hukusoma kiswahili? Umemsikiliza vizuri au unataka tu kumtetea?
 
Na Mungu atamlaani yeye na vizazi vyake vinne kwa kumfananisha na mwanadamu anayeenda chooni.
 
Hili Bashite halina akili kichwani, linachojuwa ni kutoa kauli ili liendelee ku trend kwenye mitandao ya jamii.
Bashite ni debe tupu. Kama ilivyo kawaida, debe tupu haliachi kulia (kutika). Ndio maana kila siku anajiropokea ovyo ili atrend mitandaoni apate kiki.
 
Hiyo video umeiskiliza? Unafahamu Kiswahili? Kama hujaisikiliza au kuielewa, kaa chink utulize tako uache kupotosha.
Sawa mimi natuliza tako, na wewe uache kupakazia watu uongo. Changanya matako mavi yasigande pita kushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…