Sipati picha ya mtu anayemuona Bashite kama mwamba wake, sijui anakuwa na akili za aina ganiHilo ni nyumbu la CHADEMA.na nyumbu za CHADEMA hazinaga akili hata ya kuelewa. Ni vipofu wa akili na macho. Video ipo wazi tena kaweka mwenyewe ikiwa wazi kabisa namna Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda akizungumza, halafu yeye kwa unyumbu wake anataka kuleta upotoshaji hapa. Kweli nyumbu ni nyumbu tu.