Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

Ni mungu, sio Mungu
 
Watu wameshindwa kumuelewa makonda kwa ufinyu wao wa Elimu makonda hajamuita Raisi Mungu bali , alama hii ilitumika kipindi anaongea ila watu kwa kukuza mambo tu
 
Umeenda kusali kwa Mungu wako wa Majeshi Leo? Kama umefanya hivyo, inatosha. Wacha na wengine waabudu Mungu wao. Mbona Wahindi wanaabudu Ng'ombe na husemi? Au kwakuwa ni Makonda LAZIMA useme.
 
Sisi tunaye Mungu mmoja tu. Hatutaki miungu wa kuchonga. Tukimuacha Makonda amuabudu Samia ipo siku Mwijaku atanuabudu Diamond. Tukemee hii tabia ya kishenzi kabla haijaota mixizi haoa nchini.
 
Watu wameshindwa kumuelewa makonda kwa ufinyu wao wa Elimu makonda hajamuita Raisi Mungu bali , alama hii ilitumika kipindi anaongea ila watu kwa kukuza mambo tu
Rudi shule ukasome Kiswahili. Kusoma hujui hata video unashindwa kusikiliza? Huko shuleni ulienda kusomea nini? Mungu anaingiaje kwenye suala la rushwa?
 
Ninunulie uniform, nilipie ada,pocket money,madaftari na vitabu ila kikubwa ninunulie wakati nitarudi shule
 
Hizo unifomu nikununulie kaptula au suruali?
 
Sisi tunaye Mungu mmoja tu. Hatutaki miungu wa kuchonga. Tukimuacha Makonda amuabudu Samia ipo siku Mwijaku atanuabudu Diamond. Tukemee hii tabia ya kishenzi kabla haijaota mixizi haoa nchini.
"Sisi" ukimaanisha wewe na nani wengine? Na Makonda yumo humo?
 
Makonda ni kichaa, hakika!!
 
Makonda na waabudu sanamu wengine hawamo humo. Yeye Mungu wake ni Samia muache aendelee kumuabudu.
Sasa kama hawamo kiherehere cha kumlaumu Makonda anapomuongelea Mungu wake unakitoa wapi? Ahahahahaha!!!
 
Yale maiina hujataja bado???
 
Rushwa ni adui wa haki. HAKI unaitenganisha vipi na Mungu? Huko shule ulienda kusomea ujinga?

-Kaveli-
Imeandikwa: Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Usijitie ujanja wakati bongo zozo.
 
Hahaha Bashite huwa ni kituko sana
 
Niliwahi kusema humu kuwa bashite ni tatizo kubwa sana, yaani akifungua kopo lake lazima aharibu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…