Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

Sipati picha ya mtu anayemuona Bashite kama mwamba wake, sijui anakuwa na akili za aina gani
 
Achana na hilo nyumbu la CHADEMA linaloendelea kushupaza shingo yake kwa jambo ambalo liko wazi kabisa. Hapo kuna sentensi tatu ,halafu huyu nyumbu anaubganisha kuwa sentensi moja kwa ujinga wake na nia yake ovu.
Chawa wa Bashite unapambana kinoma. Binafsi nashauri Bashite akuongezee posho
 
Imeandikwa: Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Usijitie ujanja wakati bongo zozo.

"Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako''

Unafahamu maana halisi ya hilo andiko?

Tumia ubongo kufikiri. 😎

-Kaveli-
 
"Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako''

Unafahamu maana halisi ya hilo andiko?

Tumia ubongo kufikiri. 😎

-Kaveli-
Heri wewe unayetumia makalio kufikiri
 
Wakati RC Makonda akiongea kuhusu rushwa huko Arusha, amesema Dr Samia ni Mungu wake, hivyo hayuko tayari kumuumiza
Huyo RC kiboko.....ila hakusema Rais ni Mungu wake.
 
Mleta mada ni mjinga tu mmoja hivi anaetumia 'mwandu' kufikiri. 😎

-Kaveli-
Machawa mnafikiri kwa kutumia vinyeo vyenu. Wewe ni Bashite mmoja na nusu.
 
Huyu ipo siku atakimbia nchi kama sio jisalamisha , mda mwalim
 
Machawa mnafikiri kwa kutumia vinyeo vyenu. Wewe ni Bashite mmoja na nusu.

Nimekuuliza haujanijibu, unaruka ruka tu kama ng'onda jike.

Narudia swali: Una gubu sana, je ushaolewa? 😎

-Kaveli-
 
Aisee ulikuwa wapi? Nakumbuka kipindi cha Jiwe ulikuwa chawa wa Jiwe na Bashite. Vp kwa sasa wewe ni chawa wa nani?
Mmmmh
Chawa ni wewe..

Mimi mdau wa JF naandika nayotaka humu..

Kazi iendelee...
 
Kwa hiyo Rais Samia ni Mungu wa watanzania au ni Mungu wa Makonda tu?
Hakuna mahari makonda katamka samia ni mungu wake.huo ni uzushi na ujinga tu wa watu.hata kabudi pia alilishwa tu maneno na wapenda uchochezi na siasa uchawala wakaunganisha maneno.
 
Hakuna mahari makonda katamka samia ni mungu wake.huo ni uzushi na ujinga tu wa watu.hata kabudi pia alilishwa tu maneno na wapenda uchochezi na siasa uchawala wakaunganisha maneno.
Ulienda shule kusomea ujinga? Rudi shule ukasome tena wewe mbweha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…