Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Unataka Wajumbe wa Tume yawafike ya Dr.Ndugulile?Aitwe tume ya maadili wahojiwe haraka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka Wajumbe wa Tume yawafike ya Dr.Ndugulile?Aitwe tume ya maadili wahojiwe haraka sana
🤣Unataka Wajumbe wa Tume yawafike ya Dr.Ndugulile?
Ukitoa sadaka kwa kujitangaza hiyo siyo sadaka tena kwani imeandikwa ukitoa sadaka kwa mkono wa kulia basi hata mkono wako wa kushoto usijue umetoa kiasi gani. Huyu nyamitako ni mpumbavu sana.Wakuu,
View attachment 3173025
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo siku ya uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2024
Wale wenzangu na mimi mwende mkapate ushauri kwa gwiji la uchumi Makonda, mishahara iwe inakutana na hata kutoigusa kabisa na huku mnaishi kama wafalme!![]()
![]()
Mkuu hivi ushawah fanya kazi serikalini au mahali popote pale rasmi? Kama haujawahi basi hata googleKama mshahara wote anatoa sadaka hiyo sawa! Lkn naomba kujua juu ya
1. Yeye na familiya yake wanakula nini?
2. Utajiri alionao anaupataje ( maana watumishi kama hao hawafanyi biashara)
3. Majumba, magari n.k anavinunua kwa pesa ipi? I'm
Anaishi kwa mkateWakuu,
View attachment 3173025
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo siku ya uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2024
Wale wenzangu na mimi mwende mkapate ushauri kwa gwiji la uchumi Makonda, mishahara iwe inakutana na hata kutoigusa kabisa na huku mnaishi kama wafalme!![]()
![]()
Kipato kingine anatoa wapi hadi hiyo hana shida nayo? Kutoa fedha sadaka bila kuwaomba msamaha uliowakosea inatosha?Wakuu,
View attachment 3173025
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo siku ya uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2024
Wale wenzangu na mimi mwende mkapate ushauri kwa gwiji la uchumi Makonda, mishahara iwe inakutana na hata kutoigusa kabisa na huku mnaishi kama wafalme!![]()
![]()
Hii ni moja ya indicator number one kuwa huyu mtu ni mwongo, mnafiki, ana kiburi na si mnyenyekevu hata kidogo...Wakuu,