Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Mashoga mnakosa raha sana na uwepo wa dudubayaLeo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao.
Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake, wataangalia iwapo kuna uwezekano wa kumchukulia hatua za kisheria mtu anayejiita dudu baya kwa kauli zake chafu na mbovu dhidi ya wasanii wenzake.
Katika kutoa onyo zaidi, alieleza kwamba, ameshangazwa ni kwanini mtu huyo ameendelea kupewa majukwaa licha ya maneno machafu ambayo ameendelea kuyatoa kila mara ashikapo mike.
MY TAKE: Dudu baya afungwe jela miaka mia tatu na nusu.
Cc: Monetary doctor Lamomy cocastic Seran ephen_
Ningekuwa mwandishi wa habari, ningemwekea clip yake wakati ule RC DSMNamshangaa huyu Makonda kwamba sasa hivi anajifanya ku-mind kampeni ya Dudubaya wakati yeye na Kigwangala wakati wa awamu iliyopita walikuwa wanajiamulia tu kutaja na kushughulikia mashoga na watu wa madawa ya kulevya kwa kutaja majina hadharani...
Sana yaani nang'ata hadi godoro.Hahaha........kwahiyo unafika kabisa kibo na shuka unang'ata π
Sana lazima akomeshwe.Mashoga mnakosa raha sana na uwepo wa dudubaya
Sio demu huyoSister kwanini hili jambo limekufurahisha sana?
Atakuwa mshangaziSio demu huyo
Yupi kichaa?!Oooh kumeanza kukucha sasa, huyo kichaa anatakiwa apelekwe milembe haraka iwezekanavyo.
Wewe umenishinda tabia π πSana yaani nang'ata hadi godoro.
Ungemuomba nambaaa ukampe mambo ππWewe umenishinda tabia π π
Wiki iliyopita natoka DSM kuja Dom, nimepanda na mmoja wa Jamii yenu
Alikuwa kajipamba hadi na zile cult walk, utasema mwanamke kumbe ni Mwanaume mwenzetu π
Ni yule anayebwata hovyo baada ya kulewa visungura na nyagi feki.Yupi kichaa?!
Anayekubali kuingiziwa kipande cha nyama ngumu makalioni au anayewasanua kwamba huo mchezo siyo mzuri haufai?
Dudu baya tangu afirwe na mabaunsa wa mista nice anatamani aliwe tena.Yupi kichaa?!
Anayekubali kuingiziwa kipande cha nyama ngumu makalioni au anayewasanua kwamba huo mchezo siyo mzuri haufai?
ππππππNi yule anayebwata hovyo baada ya kulewa visungura na nyagi feki.
Wizzo leo una furaha sana kulikonii?ππππππ
Sijafikia hiyo level MkuuUngemuomba nambaaa ukampe mambo ππ
Hadi machozi yametoka πππππWizzo leo una furaha sana kulikonii?
ππ
Ahahaa sawa tu itajulikanaSijafikia hiyo level Mkuu
Nataka nife nikiwa mtu safi
Amekudanganya nani?Dudu baya tangu afirwe na mabaunsa wa mista nice anatamani aliwe tena.
Umejuaje huyu ni sister mkuu π€Sister kwanini hili jambo limekufurahisha sana?
πππ unajua watu nawakanda sehemu nyingi, hadi huku uraiani.Hadi machozi yametoka πππππ
Kwenye jamii yupi bora,unaepigwa miti mpaka matako yanakupwelepeta au anayekushauri uuche huo mchezo?Ni yule anayebwata hovyo baada ya kulewa visungura na nyagi feki.