Makonda umeamua kulidhihaki Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na La Mitume? Nakushauri katubu mara moja.

Anazidi kubarikiwa na kustawi
Kwenye lugha yetu ya Kihaya kuna neno *okwitila" likiwa na maana mbili tofauti.
Ya kwanza ni "kumharibia mtu mambo yake".

Ya pili ni "kupalilia shamba la njugu mawe kwa kuweka udongo wa kutosha kwenye mche wa njugu mawe ili mche ule uweze kustawisha vizuri njugu mawe kule chini!"

Stori ya kupendeza ni kwamba kwanini maana ya kwanza, inapokuja kwenye maana ya pili inakuwa kinyume chake! Hapo ndio Kuna hadithi ya Makonda na wavimba macho! Ahahahahaha!!
 
Sahihi
 
Hakuna kitu Makonda anaabudu kama madaraka, yuko tayari kufanya au kusema chochote kulinda madaraka yake na ya boss wake. Hilo kanisa lililompa nafasi ya kuhutubia lijiangalie maana huwezi kumpa muovu nafasi ya kulifundisha kanisa.
Hata hilo Kanisa lina viongozi baadhi waovu kama huyo Malasusa.
 
Wewe ni tahira huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…