Makonda, unajiua mwenyewe mbona hustuki?

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji

Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.

Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.

Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
 
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana. Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo![emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
hizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!
 
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji

Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.

Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.

Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Bonge la fitna
 
Kwamba akimaliza kuzunguka mikoa 20 atafanya nini!? Wewe ndo ulimpangia hiyo ziara? Ulitaka azunguke mikoa mingapi ili akuridhishe wewe shujaa wa mitandaoni?

Ungekuwa na akili ungetambua kwamba hata hiyo ziara CCM wamechelewa sana sana. Chaguzi ni kesho tu hapo!! Endeleeni kukatisha Makalio yenu mwenzenu anamaliza Kampeni za uchaguzi
 
kwaa hiyo hata wakati ule akiwa mkuu wa mkoa alikuwa na backup ya TISS? basi sawa ngoja niendelee kuangalia muvi hii
 
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji

Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.

Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.

Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Ni kweli kabisa, ninaona mahesabu ya kisiasa yakimkataa
 
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sii kweli kuwa anakichafua chama chake kuwa ni wauaji, kwasababu huo ndio ukweli wenyewe!, labda kosa lake liwe ni kuusema ukweli huo!. Kati ya matukio yote yaliyoripotiwa ya viongozi kutaka kuuwawa kwa sumu, kuna lolote wahusika ni wapinzani?.

Makonda ni mpango wa Mungu, ni mpakwa mafuta wa Bwana anayeongozwa na roho wa Mungu. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kuhusu hii amsha amsha anayoendelea mayo, sisi kaka zake tumeisha mpa Makonda angalizo Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Na niliwaeleza watu humu kuwa Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Namalizia kwa swali hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
 
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji

Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.

Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.

Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
😳huenda anatumika huyu kijana? Maskini...
 
hizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!
Tiss! 🤣 🤣 🤣
 
Mbio za sakafuni huishia ukingoni.

Watakula kwa urefu wa kamba zao, lakini kamba hizo hizo ndizo zitawanyonga.

Akili ndogo ukiipa hadhara kubwa lazima ijivue nguo tu.
 
Kwamba akimaliza kuzunguka mikoa 20 atafanya nini!? Wewe ndo ulimpangia hiyo ziara? Ulitaka azunguke mikoa mingapi ili akuridhishe wewe shujaa wa mitandaoni?

Ungekuwa na akili ungetambua kwamba hata hiyo ziara CCM wamechelewa sana sana. Chaguzi ni kesho tu hapo!! Endeleeni kukatisha Makalio yenu mwenzenu anamaliza Kampeni za uchaguzi
CCM imechelewa?? Ziara mabarabarani toka kipindi cha Mwendazake mpaka leo wamechelewa! Ajabu kweli!
 
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji

Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.

Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.

Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo![emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Makonda kasema kuna watu wanataka kumuua? Mwenye clip naomba aiweke au link....
 
Sii kweli kuwa anakichafua chama chake kuwa ni wauaji, kwasababu huo ndio ukweli wenyewe!, labada kosa lake liwe ni kuusema ukweli huo!. Kati ya matukio yote yaliyoripotiwa ya viongozi kutaka kuuwawa kwa sumu, kuna lolote wahusika ni wapinzani?.

Makonda ni mpango wa Mungu, ni mpakwa mafuta wa Bwana anayeongozwa na roho wa Mungu. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kuhusu hii amsha amsha anayoendelea mayo, sisi kaka zake tumeisha mpa Makonda angalizo Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Na niliwaeleza watu humu kuwa Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Namalizia kwa swali hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
Mzee Paskali taratibu, unaongeaga kwa ndimi nyingi, kuna mungu wengi! Hata wa Gambosh naye ni mungu!

Umesahau amsha amsha ya Mwendazake na kina pole pole, Makonda mwenyewe Dar, Sabaya Moshi, yule dogo Iringa, Gambo Arusha, na kadhalika wakiwa wao tu kwa miaka 5 tu lakini kwenye uchaguzi wakaishia kuiba mazima uchaguzi!

Mzee jitahidi kusema ukweli!!!
 
Sii kweli kuwa anakichafua chama chake kuwa ni wauaji, kwasababu huo ndio ukweli wenyewe!, labada kosa lake liwe ni kuusema ukweli huo!. Kati ya matukio yote yaliyoripotiwa ya viongozi kutaka kuuwawa kwa sumu, kuna lolote wahusika ni wapinzani?.

Makonda ni mpango wa Mungu, ni mpakwa mafuta wa Bwana anayeongozwa na roho wa Mungu. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kuhusu hii amsha amsha anayoendelea mayo, sisi kaka zake tumeisha mpa Makonda angalizo Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Na niliwaeleza watu humu kuwa Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Namalizia kwa swali hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
Kweli siasa hasa Africa ni uongo mtupu na ndio maana tunabaki maskini siku zote. Hao tunaowaita wapakwa mafuta/mpango wa Mungu ndio hao wanaotuhadaa kila siku na la ajabu zaidi wasomi kama wewe mnawashabikia, sijui hata mnajisikiaje?!
 
hizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!
Usidanganywe, hao walio ndani ya serikali wanaelewa kelele za Makonda ni mradi wa mama kurejesha matumaini ya chama bila kujua ana angushwa yeye.
Unadhani ma DED, DC na RC huko apitapo huyo wana hofu na maigizo hayo?
Utahofu nini wakati mfumo huo wa upigaji umeanzia juu kuja chini tena bila uficho?
Wananchi wanashangilia kubwabwaja kwa Bashite kwa vile hawajui mateso yao hayajaanzia kwa hao viongozi wao wa chini bali yameanzia juu.
Hivi kelele za Makonda umeona zimempeleka nani mahakamani? Ni mikutano ya hadhara na vyombo vya habari kutangaza sana kisha akiondoka business as usual.
Sasa ni hoja ya kupewa sumu. Nani anampa sumu? Au anatangaza kuwa wale wauaji wenzake ndani ya Chama ndio wanaweka sumu kwenye chakula? Kwa vile kawajua jee hatua zimechukuliwa?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji

Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.

Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.

Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Aisee , nimegundua kitu Samia alikuwa sahihi kumteua Makonda , pale Samia kazungukwa na vibaka aisee

Ila Iko hivi The Chosen One atakuwepo hata iweje labda WAO wamsaliti ila sio hao Wanasiasa uchwara kina JK , Kina et All
 
Kweli Duniani hakuna shukrani, nchi ilivyo na matatizo mengi kwa sasa, anapatikana mtu walau anawaambia watu wafanye kazi. Mnapatikana wa Nongwa kutishia, naomba ninukuu swali toka kwa Makonda, unatishia watu wewe kama nani? Nchi ni yetu sote.

Nyie mnaotishia ni wale mnao neemeka, mkimaliza kutishia watetezi wa nyonge mwisho mwa uzi wenu wekeni neno hili [emoji117][emoji117] ni sisi wanufaikaji .
 
Back
Top Bottom