Makonda, unajiua mwenyewe mbona hustuki?

Kwa nini unamstua?
 
Chama kinaisimamia Serikali kwelikweli!
Watendaji Serikalini wanatuangusha sana!

Makonda Zunguka na ukimaliza Zunguka tena!

Kuna Watendaji hawajitambui kabisa!!!

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Kweli siasa hasa Africa ni uongo mtupu na ndio maana tunabaki maskini siku zote. Hao tunaowaita wapakwa mafuta/mpango wa Mungu ndio hao wanaotuhadaa kila siku na la ajabu zaidi wasomi kama wewe mnawashabikia, sijui hata mnajisikiaje?!
Mkuu Fazili, mimi kosa langu ni moja tuu, kuukubali ukweli, kuwa dogo yuko vizuri, na wala sio kumshabikia bali kumkubali huyu jamaa. Angalia nilianza nae lini Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam usikute ni kauli umba hii ndio iliompatia u RC.
Kwa 2025 nimemuumbia Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P
 
Hakuna mwanasiasa msafi hata mmoja lakini ccm wamezidi kwa uchafu na ufisadi ni tabia yao ya asili kabisa, huwezi kutenganisha ufisadi, uhalifu na ccm kwa namna yoyote ile, hata hawa wapinzani wanaopiga kelele kila siku wakipewa nafasi yatakua yale yale tuu, mwanasiasa wa ccm ambae alikua hana tabia walizo hawa wahalifu ni Mwalimu Nyerere peke yake
 
Tukubali au tukatae siasa ni mbinu kama ilivyo biashara yoyote.CCM wanajua wanadeal na watanzania ambao majority ni watu wa aina gani,hii makonda's strategy so far inafanya kazi vzr kwa CCM.
 
Kwamba akishamaliza mikoa yote hatakuwa na kazi ya kufanya?
Muwe mnaangslia vizuri namna yenu ya kufanya reasoning.
 
Kwanini Chama Cha Masela kinatumia nguvu kubwa kwenye kampeni na ziara zisizo na tija, ilihali wanajua wataiba kura kurudi madarakani.
 
Kwa kufupi ni hivi. Makonda hana uwezo wa kutengeneza vitu progressive, makonda huwa ana tabia za wahindi, kusemelea sana kwa bosi, kutafuta every fake aporoach ya kumfurahisha bosi. Makonda ana tabia za kike, kwanza kumtambua who is in power na kuhakikisha ana side naye.
Utendaji wa Makonda kamwe hauwezi kuwa na faida kwa CCM sababu hana uwezo wa ksimamia na kuiimarisha taasisi, ndiyo maana kila anapopita huacha mipasuko kuliko uimara na umoja katika Chama.
Kama kuna mstari Samia ameuchora kwamna ikishindikana basi ni bora CCM ife au ipoteze ndiyo maana kaamua kumtumia Makonda, basi katika hilo namuunga mkono, sababu katika mpango huo, Makonda ni kete sahihi, anaweza zaidi kufarakanisha.
 
Jitu pumbavu kama hili linafurahia wakurugenz wahuni, maafsa ardhi wahuni, wakuu wa wilaya wahuni kuwa linafaidika. Huku wananchi wakiuumia. Siku wananch walichukua, mapanga na kuwakata kata, wakurugenz ndio mtaelewa wamechoka. Hipo siku yaja mbwa nyie.
 
AISEE NILISIKIA NA MIMI HIYO.
kwa kusema vile anakili kuwa Raisi awamu ya 5 (ALIULIWA). Hii ni hatari sana, ni heli angesema mtu wa chini sio kiongozi mkubwa kama Makonda. Na analeta ukakasi hadi kwa watu waliohusika sasa.
 
PAUL MAKONDA alishakufa akafufuka (reincarnation) ni mteule na sisi WANANCHI HUTUAMBII KITU … mwenye macho na atazame
 
Swali gani hilo bwashee, kwani hujui kuwa aliuliwa?
Ni sawa unavosema ila bora kuwepo na sintofaham kwa watu kuliko kuwahakikishia wananchi kuwa kiongozi wao aliuliwa. Halafu hakuna mtu alieshtakiwa kuwa ndie aliemuua
 
Duh! Pascal jitu la hovyo kabisa.

Ni bora mpumbavu akionyesha ujinga wake kuliko mwerevu akionyesha dalili za ujinga.

Kweli Makonda Huyu Huyu criminal ndiye wa kumwambia hayo?
 
Kweli bwana Pascal unafikiri kutoka moyoni mwako na hasa ukiwa mwanasheria; mtu unayejua utawala wa sheria, kuwa utawala wa sheria ni muhimu sana kwa haki na maendeleo ya watu, bado tu unaamini kwamba Paul Makonda anafaa kuwa rais wa nchi hii au tu basi unaona kuna fursa flani binafsi utaipata akiwa rais? Shida yangu kubwa na wanasiasa wa Kitanzania ni kupishana sana kwa kauli zao na yale wanayoamini moyoni.
 
Sir-100 kama Rais ndiye aliyeingia mikataba na wananchi. Sasa hii style mpya ya Rais Kupigwa kimya na kuchagua mtu wa kuzurura kumsemea hii ni mpya.

Bibi vua ushungi ingia mitaani ongea na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…