Makonda, unajiua mwenyewe mbona hustuki?

 
Kuna wakati mtu unaweza ukafikri umeona kumbe bado hujaona sawasawa.
 
Kama anajiua mwenyewe SI ndio lengo lenu?,unategemea kwa hii mistari utapunguza speed yake?

You are hopeless 100%
 
Rubbish,halafu unasononoka sana kuhusu successions ya ziara ya MAKONDA
 
Swali, akimaliza kufanya drama huko atafanya nini tena? Anamfanyia nani kampeni?
 
Ametumwa na Samia hivyo yuko safe, at least for now!
 
Sir-100 kama Rais ndiye aliyeingia mikataba na wananchi. Sasa hii style mpya ya Rais Kupigwa kimya na kuchagua mtu wa kuzurura kumsemea hii ni mpya.

Bibi vua ushungi ingia mitaani ongea na wananchi.
Alishakwambia, Kwa Hali yake, haezi😀😀
 
Kufuta nini mkuu? Siwezi kabisa kutaka kufuta chochote kisichonihusu. Nataka kusikia aliongea kwenye context ya aina gani.
Ingia U-Tube, anavuruga Hasa!!!

Tukisema anakijenga chama, jibu ni HAPANA.

Tukisema anakichafua chama na viongozi wote Ili kijisafishia njia Yeye binafsi, jibu ni NDIO.

Kiukweli CCM mna Hali ngumu Hasa!!

Kwa sasa, kumkata au kumwacha, yote yana madhara makubwa.
 

Mjinga tu mmja sasa kafikiwa anaona matopwe topwe
 
Ccm wote ni majizi
 
Wewe waache tu wajinga sana hao
 
Tulieni dawa iwaingie mtabweka sana.
 
Makonda Hana backup ya TISS usimpe sifa asizonazo kwanza hawamjui ongea jingine
 
Kama umeniweka kwenye kundi la CCM basi litakuwa ni tusi baya sana kwangu. Yaani kweli niwe chama kimoja na Makonda? Ayaaaa. Pengine umefananisha username yangu na ya mtu mwingine. Hakuna kitu ninachokichukia kama CCM. Naiona kama laana ya Tanzania na bila kifo chake nchi yetu haitakaa isimame kiuchumi.
 
Hakikisha uchawa wa hivi skitoka mama uufute.usitupe shida kujibu maswali ya wajukuu zako kukushangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…