Sorry!Kama umeniweka kwenye kundi la CCM basi litakuwa ni tusi baya sana kwangu. Yaani kweli niwe chama kimoja na Makonda? Ayaaaa. Pengine umefananisha username yangu na ya mtu mwingine. Hakuna kitu ninachokichukia kama CCM. Naiona kama laana ya Tanzania na bila kifo chake nchi yetu haitakaa isimame kiuchumi.
Kwa hiyo unampenda sana ndio maana umeshtua au na wewe unamchekaBahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Acha hadaa Nchi inayojielewa haiwezi kumtegemea Mwenezi wa aina ilehizi nchi zetu zinahitaji watawala makatili. Watu wameshindwa kujisimamia. Majitu yamezidi uzembe kazini ni kuiba tu na kulindana. Makonda ana backup ya TISS. kuna wakati tutaweka siasa pembeni, tutaenda na uhalisia. Siasa zinatuchelewesha sana! shithole!!!!!!
,akayasema Magufuli .Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji
Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea zaidi ya Kinana.
Ni hivi, umeachwa uzunguke mikoa yote tena shangaa walivyokuongezea posho ghafla. Umetegwa ukimaliza mikoa yote then utafanya nini? Kwishney, hapo ndipo wakubwa zako wataanza kukunanga na wewe. Kwa Sasa wanakucheka sana.
Wewe ni jiwe linaloandaliwa kuwa chanzo cha ajali ya kisiasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Endelea kuzunguka huku wakimzunguka mama. Wewe na Samia mtapoteana muda si mrefu. Chukua hiyo!
Ukiachana na mambo ya uandishi, pia una kipaji cha u comedySii kweli kuwa anakichafua chama chake kuwa ni wauaji, kwasababu huo ndio ukweli wenyewe!, labda kosa lake liwe ni kuusema ukweli huo!. Kati ya matukio yote yaliyoripotiwa ya viongozi kutaka kuuwawa kwa sumu, kuna lolote wahusika ni wapinzani?.
Makonda ni mpango wa Mungu, ni mpakwa mafuta wa Bwana anayeongozwa na roho wa Mungu. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Kuhusu hii amsha amsha anayoendelea mayo, sisi kaka zake tumeisha mpa Makonda angalizo Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
Na niliwaeleza watu humu kuwa Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
Namalizia kwa swali hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
AlisemaHivi Makonda kasema kuna watu wanataka kumuua? Mwenye clip naomba aiweke au link....