DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Hv watu wanampendea nn huyu jamaa... Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji pesa kupata pesa, siasa ni chanzo, kizuri cha pesa, kulipwa 250K kila siku,11M kila mwezi, 250M kwa, Miaka 5,mbunge.huyu kenge anasema siasa sio nzuri?!Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi!
Pale ambako mwanasiasa anakwambia siasa hailipi! Kama hailipi mbona haachi?
"Vijana wengi wanawaza siasa, achana na siasa, siasa hailipi, pesa ndiyo inalipa. Point yangu ni kwamba lazima tuwe na mikakati ya kufikiri namna ya kujenga uchumi badala ya kujadili siasa inayojadili majina ya watu na mtu.
"Ukiwa hauna pesa huna pointi. Ukiwa hauna pes ahata kwenye uchaguzi huchaguliwi kama unabisha niulize mimi! Nilikuwa na uwezo lakini sikuwa na pesa wakati nagombea Umoja wa Vijana nikaachwa.
"Kwahiyo niwaombe tuachaneni na siasa Najua maneno haya kuna wengine watayatumia kutengeneza hoja zingine lakini potelea mbali, tuachane na siasa, narudia tena siasa haina mpango!"
Ili utajirike zaidi na zaidi 👁Mimi sijaelewa, ukiwa na pesa unachaguliwa. Sasa kwa nini utumie pesa kuingia kwenye siasa ikiwa tayari una pesa?
Ume.aliza kila kitu! Atakaye bishi ni mchawiSiasa inalipa Sana Tanzania ikifatiwa na black makerts , kuuza illegal business
Kwa sababu anawaumbua wenzake walio wabadhirifu na wezi. 🙄Hv watu wanampendea nn huyu jamaa... Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
Huyu mpuuzi yeye mbona anafanya siasa?Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi!
Pale ambako mwanasiasa anakwambia siasa hailipi! Kama hailipi mbona haachi?
"Vijana wengi wanawaza siasa, achana na siasa, siasa hailipi, pesa ndiyo inalipa. Point yangu ni kwamba lazima tuwe na mikakati ya kufikiri namna ya kujenga uchumi badala ya kujadili siasa inayojadili majina ya watu na mtu.
"Ukiwa hauna pesa huna pointi. Ukiwa hauna pes ahata kwenye uchaguzi huchaguliwi kama unabisha niulize mimi! Nilikuwa na uwezo lakini sikuwa na pesa wakati nagombea Umoja wa Vijana nikaachwa.
"Kwahiyo niwaombe tuachaneni na siasa Najua maneno haya kuna wengine watayatumia kutengeneza hoja zingine lakini potelea mbali, tuachane na siasa, narudia tena siasa haina mpango!"
Tena ni zaidi ya kulipaSiasa inalipa Sana Tanzania ikifatiwa na black makerts , kuuza illegal business
Siasa ni nini?Hapa kakosea, tena vijana ndio inatakiwa wafanye siasa zaidi, hata yeye kapata vyeo sbb ya siasa
Mwanasiasa anatatua vipi kero ya mwananchi?Inabidi uwe na akili kubwa kumuelewa Makonda. Kwa ufupi unakuta kijana anaingia kwenye siasa ili aibe kwa sababu hana hela. Na unakuta kila kijana ndoto ni kuwa mwanasiasa ili aibe na siyo kutatua kero. Maisha ya sasa vijana wanajadili wanasiasa badala ya kujadili mikakati ya kukuza uchumi. Nchi zilizoendelea siasa anaingia mwenye hela maana sehemu kubwa ni kujitolea siyo kwenda ukiiba na wenzetu ukiiba kifungo kinakuhusu
Hahaha..Atambue kipindi kile anapiga magoti na kufunga kamba za viatu za Riz1 alikuwa anatafuta nini vinginevyo ni dalili za KUVEMBEWA
Ukiwa na hela unatatuaMwanasiasa anatatua vipi kero ya mwananchi?
Makonda wewe ni mult bilioner kwa sababu ya siasa unawadanganya wenzako. Umetajirika na bado huachi siasa.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi!
Pale ambako mwanasiasa anakwambia siasa hailipi! Kama hailipi mbona haachi?
"Vijana wengi wanawaza siasa, achana na siasa, siasa hailipi, pesa ndiyo inalipa. Point yangu ni kwamba lazima tuwe na mikakati ya kufikiri namna ya kujenga uchumi badala ya kujadili siasa inayojadili majina ya watu na mtu.
"Ukiwa hauna pesa huna pointi. Ukiwa hauna pes ahata kwenye uchaguzi huchaguliwi kama unabisha niulize mimi! Nilikuwa na uwezo lakini sikuwa na pesa wakati nagombea Umoja wa Vijana nikaachwa.
"Kwahiyo niwaombe tuachaneni na siasa Najua maneno haya kuna wengine watayatumia kutengeneza hoja zingine lakini potelea mbali, tuachane na siasa, narudia tena siasa haina mpango!"
Ili atajirike zaidi na zaidi kama wengine 👁🙄Huyu mpuuzi yeye mbona anafanya siasa?
HapanaUkiwa na hela unatatua
Vijana wa Arusha mnaelewa maana ya kauli hii?Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi!