Kwa sababu anawaumbua wenzake walio wabadhirifu na wezi. 🙄
Tofauti na wengine ambao huwa wanawalinda wenzao 🙄👁
Kwahiyo usione watu wanampenda Makonda ukadhani ni wajinga 🙄
Yeye hana tabia ya kulindana lindana eti tu ni kwa sababu wa kutoka kwenye Chama chake 🙄👁
Hicho ndicho kikubwa kinachomfanya Makonda apendwe na watu wengi lakini pia kinamfanya achukiwe na wenzie humo Chamani kwao !
Na akiacha hiyo tabia na mvuto wake utakuwa umepotea hapo hapo 🙄
Watu wengi wanatafuta ladha tofauti katika siasa, watu wamechoka na ile ladha ya maneno ya kulindana lindana na kusifiana sifiana mikutanoni 🙄👁
Makonda ameshazisoma alama za nyakati ndio maana yuko vile 🙄👁
Mafisadi kazi wanayo 🙄😳👁