Pre GE2025 Makonda: Vijana achaneni na siasa, hailipi. Pesa ndiyo inalipa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unahitaji pesa kupata pesa, siasa ni chanzo, kizuri cha pesa, kulipwa 250K kila siku,11M kila mwezi, 250M kwa, Miaka 5,mbunge.huyu kenge anasema siasa sio nzuri?!
Kuingia kwenye siasa unahitaji pesa au connection, Ila ukiingia, unapata pesa, nyingi, ubunge, udiwani, uwaziri, kuna pesa nyingi Sana chafu na safi,watu wanaacha ukurugenzi na kwenda kwenye ubunge, Huyu kenge, ni, siasa ndio ilimpa pesa,
 
Hv watu wanampendea nn huyu jamaa... Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
Kwa sababu anawaumbua wenzake walio wabadhirifu na wezi. πŸ™„

Tofauti na wengine ambao huwa wanawalinda wenzao πŸ™„πŸ‘

Kwahiyo usione watu wanampenda Makonda ukadhani ni wajinga πŸ™„
Yeye hana tabia ya kulindana lindana eti tu ni kwa sababu wa kutoka kwenye Chama chake πŸ™„πŸ‘

Hicho ndicho kikubwa kinachomfanya Makonda apendwe na watu wengi lakini pia kinamfanya achukiwe na wenzie humo Chamani kwao !

Na akiacha hiyo tabia na mvuto wake utakuwa umepotea hapo hapo πŸ™„

Watu wengi wanatafuta ladha tofauti katika siasa, watu wamechoka na ile ladha ya maneno ya kulindana lindana na kusifiana sifiana mikutanoni πŸ™„πŸ‘

Makonda ameshazisoma alama za nyakati ndio maana yuko vile πŸ™„πŸ‘
Mafisadi kazi wanayo πŸ™„πŸ˜³πŸ‘
 
Huyu mpuuzi yeye mbona anafanya siasa?
 
Inabidi uwe na akili kubwa kumuelewa Makonda. Kwa ufupi unakuta kijana anaingia kwenye siasa ili aibe kwa sababu hana hela. Na unakuta kila kijana ndoto ni kuwa mwanasiasa ili aibe na siyo kutatua kero. Maisha ya sasa vijana wanajadili wanasiasa badala ya kujadili mikakati ya kukuza uchumi. Nchi zilizoendelea siasa anaingia mwenye hela maana sehemu kubwa ni kujitolea siyo kwenda ukiiba na wenzetu ukiiba kifungo kinakuhusu
 
Mwanasiasa anatatua vipi kero ya mwananchi?
 
Makonda wewe ni mult bilioner kwa sababu ya siasa unawadanganya wenzako. Umetajirika na bado huachi siasa.
 
Vijana wa Arusha mnaelewa maana ya kauli hii?
Tafsiri ni hii! TUACHIENI SISI wanasiasa (tena wa ccm) TUTAFUNE NCHI MSIHANGAIKE TENA. NYIE CHACHARIKENI KWENYE JUA TU NCHI TUNAIUZA YOTE msiisumbue serikali ya ccm1 Akili mkichwa wanaarusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…