Kwa sababu anawaumbua wenzake walio wabadhirifu na wezi. π
Tofauti na wengine ambao huwa wanawalinda wenzao ππ
Kwahiyo usione watu wanampenda Makonda ukadhani ni wajinga π
Yeye hana tabia ya kulindana lindana eti tu ni kwa sababu wa kutoka kwenye Chama chake ππ
Hicho ndicho kikubwa kinachomfanya Makonda apendwe na watu wengi lakini pia kinamfanya achukiwe na wenzie humo Chamani kwao !
Na akiacha hiyo tabia na mvuto wake utakuwa umepotea hapo hapo π
Watu wengi wanatafuta ladha tofauti katika siasa, watu wamechoka na ile ladha ya maneno ya kulindana lindana na kusifiana sifiana mikutanoni ππ
Makonda ameshazisoma alama za nyakati ndio maana yuko vile ππ
Mafisadi kazi wanayo ππ³π