Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

😂😂😂 wwpo lakini sio kama yeye
1739888715720.jpg
 
Huo ni moshi halisi toka kwenye miti halisi hakuna chemical hapoView attachment 3240909
Hapa pamenikumbusha enzi hizo kitambo nyuma nikitaka kusoma vitabu vya hadithi, haswa vitabu vya 'Elfu lela U lela' nilikuwa ninaenda bondeni sehemu tulivu kama hii....hakika nilikuwa ninahama kabisa na kuvaa uhusika katika zile hadithi. Ilikuwa Raha sana!

Mazingira kama haya yanaleta utulivu wa akili na kuongeza ladha ya kuishi.
 
Ndoto yangu tangu nikiwa mdogo nikizeeka niwe naishi maisha ya Cowboys huko Carlifonia countryside, Nikiwa nimezungukwa na wajukuu na wapendwa wangu, Tukinywa maziwa ya Ng'ombe Tukinywa beer na wajukuu wakiimba na kucheza pamoja kufurahi pamoja, Tukiwa mbali kabisa na kelele za mijini, Ila kadri muda unavyoenda naona ndoto zinayeyuka 😀 Ila kiujumla napenda sana maisha ya Cowboys/Men
images - 2025-02-18T181816.141.jpeg
images - 2025-02-18T181825.774.jpeg
 
Hivi kwa Tz ni sehemu gani wananchi wanalinda mpaka maji yanayotiririka?
Babu yangu alijenga nyumba sehemu moja chini ya mlima huku maji yakishuka toka milimani na alihifadhi hiyo sehemu kwa miaka mingi sana.
Mpaka walipokuja waharibifu.
Wabongo waharibifu sana
Ila Moshi huko ndio nimeona sehemu nzuri zinazotunzwa na wenyeji
 
Nikikaaga mwaka mmoja mijini bila kwenda kijijini kwetu inakuwa tabu kupiga bao 3 lakn nikienda kukaa mwezi mmoja tu, narudi naweza kupiga bao 2 za kuunganisha mumo kwa mumo na zingine 3 zenye break time kati yao. Aisee vyakula vya asili vina maana sana.
Kwanza sukari unaikuta kwenye chai tu. Hakuna soda, juice, bia wala pombe Kali labda siku ya sherehe na sikukuu. Vyakula vingine tunakula bila sukari ba vingine bila chumvi.
 
Hapa pamenikumbusha enzi hizo kitambo nyuma nikitaka kusoma vitabu vya hadithi, haswa vitabu vya 'Elfu lela U lela' nilikuwa ninaenda bondeni sehemu tulivu kama hii....hakika nilikuwa ninahama kabisa na kuvaa uhusika katika zile hadithi. Ilikuwa Raha sana!

Mazingira kama haya yanaleta utulivu wa akili na kuongeza ladha ya kuishi.
Mazingira kama haya yanaleta utulivu wa akili na kuongeza ladha ya kuishi.💪🏿💗💗💗
 
Ndoto yangu tangu nikiwa mdogo nikizeeka niwe naishi maisha ya Cowboys huko Carlifonia countryside, Nikiwa nimezungukwa na wajukuu na wapendwa wangu, Tukinywa maziwa ya Ng'ombe Tukinywa beer na wajukuu wakiimba na kucheza pamoja kufurahi pamoja, Tukiwa mbali kabisa na kelele za mijini, Ila kadri muda unavyoenda naona ndoto zinayeyuka 😀 Ila kiujumla napenda sana maisha ya Cowboys/Men
View attachment 3240928View attachment 3240929
Don't give up... Dreams can come true📌🔨💪🏿
 
Back
Top Bottom