Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mabudhaHaya maeneo unawezaa yapata huko Indonesia , Cambodia, mongolia au Thailand ndani ndani huko
Wazee wa texas chuck Noris styleNdoto yangu tangu nikiwa mdogo nikizeeka niwe naishi maisha ya Cowboys huko Carlifonia countryside, Nikiwa nimezungukwa na wajukuu na wapendwa wangu, Tukinywa maziwa ya Ng'ombe Tukinywa beer na wajukuu wakiimba na kucheza pamoja kufurahi pamoja, Tukiwa mbali kabisa na kelele za mijini, Ila kadri muda unavyoenda naona ndoto zinayeyuka 😀 Ila kiujumla napenda sana maisha ya Cowboys/Men
View attachment 3240928View attachment 3240929
handsome boyHakuna huyu mtu
View attachment 3240915
Moja ya ndoto yangu nitakuwa namiliki sehemu ya shamba yenye ukubwa kama heka 5 then najenga nyumba hapo.Waliokulia vijijini mashambani wanalijua hili... Waliokulia mijini kwenye uchafuzi wa kila aina na vurugu zote hawaijui ladha yake
Ukisoma habari za peponi na vile kulivyo unaweza kukubalina nami kwamba makondeni ni pepo ya dunia
Hakuna vurugu za miziki
Hakuna honi
Hakuna fujo za bodaboda
Hakuna vurugrlumechi za daladala
Hakuna kelele za wahubiri feki wa kila imani
Hakuna makaka wala madala poa
Hakuna wezi wala vibaka
Hakuna gesti bubu
Hakuna aina yoyote ile ya uchafuzi wa hali ya hewa
Hakuna vyakula feki
Hakuna kuku mazezeta
Hakuna nyama kibudu
Hakuna upigaji wala utapeli wa aina yoyote ile
Hakuna ulaghai wa mapenzi , nyumba ndogo wala michepuko
Kilichopo huko ni amani, utulivu, u pendo, ukarimu, ucha Mungu, vyakula vizuri vitamu nknknk
Kama ukiweza unaweza kutengeneza pepo yako ya makondeni walau robo yake maokoto na muda vikikubariki...
Zifuatazo ni picha nyingi nyingi za mfano wa makondeni kulivyoView attachment 3240898View attachment 3240899
Ni Ngugi wa Thiong'o mkuu, nafikiri umechanganya.View attachment 3241033The river between. Chinua Achebe in African Writers series..👌🏿
Hapana. Huko siendagi kabisa mkuu.. Niko huku:Wewe najua unazungumzia huku😁
![]()
18 Mio. Aufrufe · 222.566 Reaktionen | I can’t stop laughing 🤣🤣 #prank #dancephilos | Dancephilos World
I can’t stop laughing 🤣🤣 #prank #dancephilos.www.facebook.com
Nafikiri hii sio picha halisi.Pamoja na mijengo kuwa mlimani lakini hakuna hofu ya maporimoko wala watu kujirusha kwasababu ya stress za maishaView attachment 3240907
Hahahaha ulikuwa unavuta bangi kipindi hichoZaman nlikuwa najua maiki inaitwa fursa kwaxab kila aliyekuwa akipokea alixema napenda kuchukua hii fursa
Ni Ngugi wa Thiong'oView attachment 3241033The river between. Chinua Achebe in African Writers series..👌🏿
Tuko pamoja chief🙏🤝Asante sana kwa marekebisho🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mwisho kabisa nitakaribisha ndugu zangu hata kuwakatia maeneo ili na wao waweze kuishi na maisha yawe ya amani kabisa.Moja ya ndoto yangu nitakuwa namiliki sehemu ya shamba yenye ukubwa kama heka 5 then najenga nyumba hapo.
Kisha pembeni napanda bustani ya nyanya,bamia,matembele,mchicha na bustani hiyo nitakuwa naifanyia kazi kila asubuhi na jioni kama ilivyo.
Kisha kwa mbele nitapanda mihogo kama robo hwkari kwa sababu napenda sana mihogo ambayo nitakuwa napika na kachumbari ambazo zimetokana na nyanya nilizopanda mwenyewe.
Kisha kwa mbele kulee kutakuwa na mabanda ya kuku wa kienyeji ambayo watakuwa ni wengi nimewazungushia kwenye eneo fensi na humo watacheza na kula wadudu freshi warukao kama vile panzi na wengineo.
Kuku hawa nitawatumia kwa kula mwenyewe na wageni,nitakuwa na kuku wengi saaana ambao naweza kula kuku kila baada ya siku 3.
KUku wa mayai na kuku wa biashara watakuepo.
Kisha nitakuwa na mbuzi wasiopungua watano kwa ajili ya maziwa freshi kabisa,sihitaji ng'ombe.
Kisha nitapanda mahindi ambayo nitayala mwenyewe eidha kwa ugali au mahindi ya kuchemsha ama kuchoma.
Kisha kwa pembeni kabisa nitakuwa nimechimba kisima cha maji hivyo mambo yote ya umwagiliaji yatafanywa na kisima hiko.
Mwisho kabisa nitakaribisha ndugu zangu hata kuwakatia maeneo ili na wao waweze kuishi na maisha yawe ya amani kabisa.
Hio ndio mioango yangu ambayo inaenda kutimia muda mchache ujao..
Mungu nakushukuru kwa neema ulizonipa.
Sawa mkuuSitarekebisha ili kila mtu aone nilikosea wapi na nani alinirebisha🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Lakini China nayo inaongoza kwa mandhari za kustaajabisha!Pamoja na mijengo kuwa mlimani lakini hakuna hofu ya maporimoko wala watu kujirusha kwasababu ya stress za maishaView attachment 3240907