Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Pazuri kweli, hivi DSM inawezekana kuwa km hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pazuri kweli, hivi DSM inawezekana kuwa km hivi?
Siku moja nilikuwa naenda home village.. Njiani nikawa nanyonya valuer kufika nikawq niko top! Basi nikaletewa kinibu cha gongo! Aisee ile valuer ilisepa kusikojulikana😆😆😆.. Nata mjani ni bora kuliko sigara za TCC😀🏃🏿🏃🏿Nikikaaga mwaka mmoja mijini bila kwenda kijijini kwetu inakuwa tabu kupiga bao 3 lakn nikienda kukaa mwezi mmoja tu, narudi naweza kupiga bao 2 za kuunganisha mumo kwa mumo na zingine 3 zenye break time kati yao. Aisee vyakula vya asili vina maana sana.
Kwanza sukari unaikuta kwenye chai tu. Hakuna soda, juice, bia wala pombe Kali labda siku ya sherehe na sikukuu. Vyakula vingine tunakula bila sukari ba vingine bila chumvi.
Ila uki vamiwa na wahuni uta simulia😂🤣, mchawi uwe na goboleView attachment 3241034 malaria au gono na UTI vitatoka wapi huku😀
na ndicho naki pendea, sema wasi kuwahi tu.Huku heshima mbele ukizingua unazinguliwq promax..hakuna mahakamq za vimemo
Ni muathirika wa kula vibudu na kuku mazezeta huyo asikusumbue...Nadhani umekariri AI na hujui kutofaurisha halisi na kanyanga