Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

1739888792238.jpg
 
1739888786742.jpg
Such a beautiful home.. Hata ukitafuta Mtoto hapo huchoki .. Hakuna joto chabo wala umbu
1739888786742.jpg
 
Sunset... Another beautiful and wonderful evening ..days of our lives
1739888755377.jpg
 
1739888752291.jpg
A day without worries about future💗📌
1739888752291.jpg
 
The sun is going down to Chilli: Chinua Achebe in African writers series
1739888749242.jpg
 
No bodaboda . . no daladala.. No pollution.. No problem 💪🏿
1739888739300.jpg
 
1739888735612.jpg
kijito cha utakaso!? As pure as fallen ice
 
1739888732303.jpg
a perfect home for spiritual health
 
Hizi sikubaliani nazo:
1. Hakuna wezi wala vibaka
Wezi wa kuku wapo sana tu yan jogoo hawiki mara mbili; halafu wapo na Vibaka wa vitu kama sufuria, nguo na hata madukani huvunja na kutoweka na vilivyomo.
2.Hakuna nyama kibudu
Hapa usipime. Huku vijijini ndo zake huku. Ng'ombe au mbuzi hafukiwi. Kitimoto tu ndo hufukiwa kama daktari amesema hafai kuliwa na binadamu
3. Hakuna ulaghai wa mapenzi , nyumba ndogo wala michepuko
Hayo 👆 👆 yapo tena sana tuu. Sema tu utofauti na huko mjini,huku hakuna ushabiki wa kufumaniana.
4. Kilichopo huko ni amani, utulivu, upendo, ukarimu, ucha Mungu, vyakula vizuri vitamu nknknk
Kilichopo huku ni Ulevi wa kupindukia, Kazi za suluba tena kwenye jua kali; Uchawi na Ushirikina vimetamalaki, Viwango vya chini vya maisha (ufukara) vyakula huku almost ni Original hakuna uchakachuaji sana lakini usafi ni wa kiwango cha chini. Tena usafiri wa huku ni changamoto kwa kiasi fulani esp. kipindi cha mvua.
 
Shida ya huku Makondeni ni Ulozi...
Wazee wa Ngwasuma wanapiga mpaka kwenye nucleus ya sperm mpaka unazaa watoto waliorogwa...

Huko town afadhali kidogo.. maana sometimes jichawi likishalewa linapoteza vibe la ku'hang out kwenye miji ya watu; linaishia kulala tu. Inakuwa ahueni kwako.
 
Nilichozungumzia mimi ni tofauti sana na ulichoandika.. Maeneo niliyozungumzia mimi yapo na hayo uliyozungumzia wewe yapo.. Ni kule vijijini kulikochangamka na kwenye muingiliano mkubwa wa watu
 
Shida ya huku Makondeni ni Ulozi...
Wazee wa Ngwasuma wanapiga mpaka kwenye nucleus ya sperm mpaka unazaa watoto waliorogwa...

Huko town afadhali kidogo.. maana sometimes jichawi likishalewa linapoteza vibe la ku'hang out kwenye miji ya watu; linaishia kulala tu. Inakuwa ahueni kwako.
😂😂😂😂😂
 
“The goal of life is living in agreement with nature.” –Zeno
1739921159211.jpg
1739921199689.jpg
 
Hizi sikubaliani nazo:
1. Hakuna wezi wala vibaka
Wezi wa kuku wapo sana tu yan jogoo hawiki mara mbili; halafu wapo na Vibaka wa vitu kama sufuria, nguo na hata madukani huvunja na kutoweka na vilivyomo.
2.Hakuna nyama kibudu
Hapa usipime. Huku vijijini ndo zake huku. Ng'ombe au mbuzi hafukiwi. Kitimoto tu ndo hufukiwa kama daktari amesema hafai kuliwa na binadamu
3. Hakuna ulaghai wa mapenzi , nyumba ndogo wala michepuko
Hayo 👆 👆 yapo tena sana tuu. Sema tu utofauti na huko mjini,huku hakuna ushabiki wa kufumaniana.
4. Kilichopo huko ni amani, utulivu, upendo, ukarimu, ucha Mungu, vyakula vizuri vitamu nknknk
Kilichopo huku ni Ulevi wa kupindukia, Kazi za suluba tena kwenye jua kali; Uchawi na Ushirikina vimetamalaki, Viwango vya chini vya maisha (ufukara) vyakula huku almost ni Original hakuna uchakachuaji sana lakini usafi ni wa kiwango cha chini. Tena usafiri wa huku ni changamoto kwa kiasi fulani esp. kipindi cha mvua.
Wewe najua unazungumzia huku😁
 
Back
Top Bottom