Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi sikubaliani nazo:
Nilichozungumzia mimi ni tofauti sana na ulichoandika.. Maeneo niliyozungumzia mimi yapo na hayo uliyozungumzia wewe yapo.. Ni kule vijijini kulikochangamka na kwenye muingiliano mkubwa wa watuHizi sikubaliani nazo:
1. Hakuna wezi wala vibaka
Wezi wa kuku wapo sana tu yan jogoo hawiki mara mbili; halafu wapo na Vibaka wa vitu kama sufuria, nguo na hata madukani huvunja na kutoweka na vilivyomo.
2.Hakuna nyama kibudu
Hapa usipime. Huku vijijini ndo zake huku. Ng'ombe au mbuzi hafukiwi. Kitimoto tu ndo hufukiwa kama daktari amesema hafai kuliwa na binadamu
3. Hakuna ulaghai wa mapenzi , nyumba ndogo wala michepuko
Hayo 👆 👆 yapo tena sana tuu. Sema tu utofauti na huko mjini,huku hakuna ushabiki wa kufumaniana.
4. Kilichopo huko ni amani, utulivu, upendo, ukarimu, ucha Mungu, vyakula vizuri vitamu nknknk
Kilichopo huku ni Ulevi wa kupindukia, Kazi za suluba tena kwenye jua kali; Uchawi na Ushirikina vimetamalaki, Viwango vya chini vya maisha (ufukara) vyakula huku almost ni Original hakuna uchakachuaji sana lakini usafi ni wa kiwango cha chini. Tena usafiri wa huku ni changamoto kwa kiasi fulani esp. kipindi cha mvua.
😂😂😂😂😂Shida ya huku Makondeni ni Ulozi...
Wazee wa Ngwasuma wanapiga mpaka kwenye nucleus ya sperm mpaka unazaa watoto waliorogwa...
Huko town afadhali kidogo.. maana sometimes jichawi likishalewa linapoteza vibe la ku'hang out kwenye miji ya watu; linaishia kulala tu. Inakuwa ahueni kwako.
Wewe najua unazungumzia huku😁Hizi sikubaliani nazo: