Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

Siku moja nilikuwa naenda home village.. Njiani nikawa nanyonya valuer kufika nikawq niko top! Basi nikaletewa kinibu cha gongo! Aisee ile valuer ilisepa kusikojulikana😆😆😆.. Nata mjani ni bora kuliko sigara za TCC😀🏃🏿🏃🏿
 
huku gesti zinaitwa rest house . halafu hazina short time wala chabo😀
 
Huwa tuna ziita farm house, familia tunayo ila ni ya Maza😝.

likizo ya mwezi wa 12 tuli kaa wiki 1 huko, amani, hakuna kelele au mambo ya ajabu.

Nilivyo rudi kwangu Ile hali ya utulivu ili ni athiri maana hata sauti ya mziki wa kati siku penda.
 
Napenda sana hayo maisha mradi tu kuwe na huduma zote za kijamii, hospital, barabara, umeme, maji, network ya simu na shule za madogo.
 
huku maua tunapeana mbegu bure hatuuziani
 
Makondeni.. No bodaboda... No stress😋
 
[ATTACH=full]3241038[/ATTACH] extremely pure and safe water.. Hakuna water guard wala kuchemsha.. Halafu ni matamu balaa.. Naniliu inasubiri😂
 
Mi pepo yangu zamani ilikua kwa mashangazi ila kwa sasa pepo yangu ipo kwa kijana mmoja hvi daaah aiseee
 
water lilies a spiritual plant at full length growth and very healthy
 

Attachments

  • 1739888795272.jpg
    309.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…