Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

Njoeni mbeya tukuyu huku muenjoy hayo mazingira, ni kijani mwaka mzima, maji hatutoi hela huku ni Bure, mito inapita miwili miwili
 
Wazee wa texas chuck Noris style
 
Watu wengi msichojua hayp ni maisha wanaishi wale waliokwisha staafu au ⁰watt wadog bf schooling kingine ni during tourism au camping kwa maisha ya kawaida huwezi ishi maisha hayo kwani sote vijiji vyetu si vko hvo mnmbona tumekimbilia mijini huko u a di attach na dunia hii ety mmoja anasema anapaenda sana if there are vyuo shule hospital za rufaa viwanja vyà ndege nk hv hudumu lete say water pipes zitembee km 200 kukufata ww kwa vle umejitenga au serikali ijenge hose kwa ww ni hv watu wanakaa na watu ktk community sio isolation
 
Moja ya ndoto yangu nitakuwa namiliki sehemu ya shamba yenye ukubwa kama heka 5 then najenga nyumba hapo.

Kisha pembeni napanda bustani ya nyanya,bamia,matembele,mchicha na bustani hiyo nitakuwa naifanyia kazi kila asubuhi na jioni kama ilivyo.

Kisha kwa mbele nitapanda mihogo kama robo hwkari kwa sababu napenda sana mihogo ambayo nitakuwa napika na kachumbari ambazo zimetokana na nyanya nilizopanda mwenyewe.

Kisha kwa mbele kulee kutakuwa na mabanda ya kuku wa kienyeji ambayo watakuwa ni wengi nimewazungushia kwenye eneo fensi na humo watacheza na kula wadudu freshi warukao kama vile panzi na wengineo.

Kuku hawa nitawatumia kwa kula mwenyewe na wageni,nitakuwa na kuku wengi saaana ambao naweza kula kuku kila baada ya siku 3.

KUku wa mayai na kuku wa biashara watakuepo.

Kisha nitakuwa na mbuzi wasiopungua watano kwa ajili ya maziwa freshi kabisa,sihitaji ng'ombe.

Kisha nitapanda mahindi ambayo nitayala mwenyewe eidha kwa ugali au mahindi ya kuchemsha ama kuchoma.

Kisha kwa pembeni kabisa nitakuwa nimechimba kisima cha maji hivyo mambo yote ya umwagiliaji yatafanywa na kisima hiko.

Mwisho kabisa nitakaribisha ndugu zangu hata kuwakatia maeneo ili na wao waweze kuishi na maisha yawe ya amani kabisa.

Hio ndio mioango yangu ambayo inaenda kutimia muda mchache ujao..

Mungu nakushukuru kwa neema ulizonipa.
 
Mwisho kabisa nitakaribisha ndugu zangu hata kuwakatia maeneo ili na wao waweze kuishi na maisha yawe ya amani kabisa.

Hio ndio mioango yangu ambayo inaenda kutimia muda mchache ujao..

Mungu nakushukuru kwa neema ulizonipa.👌🏿💪🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…