Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii habari ya wana Ccm kujichukulia ni wazalendo daraja la kwanza ni VERY WRONG.

Hao hao wametufungisha mikataba ya ajabu na so called wawekezaji. Na ni majuzi. Ndiyo maana nakuambia mzalendo was Nyerere . Siyo hizi takataka
 
Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .

MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

Mungu ibariki Chadema

Tuko Pamoja kwa Maombi na Sala
 
fanyeni kazi za kuwaingizia kipato hizi drama hazitawasaidia nyie shindaneni na wakina mbowe waliojiwekeza baadae mtakuja kutafuta wachawi wa mafanikio yenu wakati ndio mnaanza kujiloga wenyewe sasa hivi
We maskini huna la kumfundisha mtu hapa. Uliona wapi kijana wa Bavicha maskini?
 
Ni suala la muda tu, giza haijawahi kuishinda nuru kamwe tangu uumbaji wa hii dunia. ni maigizo tu waliyoyafanya ila kwa sasa washaanza kuyajutia - Plan Without Effective Mission ...
Kuna list ndefu Mungu anadili nao mmoja baada ya mwingine
 
Chadema inaweweseka sana. Inawaya waya kama machela.
Inatesa nchi nzima wakati haina hata Mbunge mmoja. Kimsingi Chadema haina tofauti na Chauma. Lakini Mbona chamadola kinakosa amani.
 
Back
Top Bottom