Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mzalendo hawezi kukimbila ukabila . Mzalendo alikuwa Nyerere waliobaki ni wapiga dili nothing else.Mjaluo hili taifa linahitaji wazalendo ili amani iwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzalendo hawezi kukimbila ukabila . Mzalendo alikuwa Nyerere waliobaki ni wapiga dili nothing else.Mjaluo hili taifa linahitaji wazalendo ili amani iwepo.
Nani anaukabila Jaluo? Hayo mengine unaleta hasira.Mzalendo hawezi kukimbila ukabila . Mzalendo alikuwa Nyerere waliobaki ni wapiga dili nothing else.
Hapo tu wewe unao . Mbona mi sijakuita sukumagangNani anaukabila Jaluo? Hayo mengine unaleta hasira.
😂😂😂Hapo tu wewe unao . Mbona mi sijakuita sukumagang
Hii habari ya wana Ccm kujichukulia ni wazalendo daraja la kwanza ni VERY WRONG.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko Pamoja kwa Maombi na SalaTaasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi
Kwa mujibu wa ratiba mpya Kituo kinachofuata ni Mkoa imara wa Mara ambapo kongamano hilo muhimu linatarajiwa kufanyika tarehe 4/9/2021 , na kwa mujibu wa Takwimu za sasa mkoa huu ndio unaoongoza kwa kuchangia askari wengi nchini Tanzania .
MUHIMU : Tuendelea kufuata muongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Mungu ibariki Chadema
We maskini huna la kumfundisha mtu hapa. Uliona wapi kijana wa Bavicha maskini?fanyeni kazi za kuwaingizia kipato hizi drama hazitawasaidia nyie shindaneni na wakina mbowe waliojiwekeza baadae mtakuja kutafuta wachawi wa mafanikio yenu wakati ndio mnaanza kujiloga wenyewe sasa hivi
Kuna list ndefu Mungu anadili nao mmoja baada ya mwingineNi suala la muda tu, giza haijawahi kuishinda nuru kamwe tangu uumbaji wa hii dunia. ni maigizo tu waliyoyafanya ila kwa sasa washaanza kuyajutia - Plan Without Effective Mission ...
Inatesa nchi nzima wakati haina hata Mbunge mmoja. Kimsingi Chadema haina tofauti na Chauma. Lakini Mbona chamadola kinakosa amani.Chadema inaweweseka sana. Inawaya waya kama machela.
Huko hazitakiwi kabisaaa.Moshi lini au pale Hai?
Au huko hapana vurugu hazitakiwi?