Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

Sikatai, ni kweli hiyo migahawana bar zipo zinazofanya vizuri kwenye usafi LAKINI NI MICHACHE SANA YAANI NI KAMA ILIVYO IDADI YA WANAWAKE WENYE DIMPLES NA MWANYA.
Ninachokushangaa unaonekana unabeza hoja yangu wakati lengo langu ni kufahamishana ili watu wachukue tahadhari na wadau wa hiyo biashara nao wazingatie usafi. Sielewi ni kwanini unakuwa NEGATIVE KIASI HICHO.
 
Very inferior & POOR MIND
 
Wakuja baki kijijini na ushamba wakoπŸ˜‚πŸ˜‚...unakula kila kitu wewe ni binadamu sio nguruwe ndo hachagui kitu.

Mi nakula seafoods kwa sana sio mauchafu yenu hayo ,njaa kali.!!
Kijiji gani wanauza kongoro?? Huu udambwi udambwi unaupata town tu, kongoro, ngozi, mapupu, pweza nk mambo yote hago unayapata town.

Halafu acha mambo ya kujitia wewe ni wa mjini huo ni ushamba wa miaka ya 90 kijana. Mbona hujiamini mpaka ujitambulishe utokako.
 
Uswazi nionyesha hapa osterbay wanauza wapi ?

Hayo madude machafu utayakuta kweny vilabu vya pombe na sehemu za walevi .πŸ˜‚

Kila kijiji lazima ukute hayo mambo kwanza ni bei rahisi sijui 1000.
 
Hakuna ushamba kusema alipotoka, nafikiri angesema katokea kijijini usingemwita mshamba na usingejali ungempotezea tuu
 
Hakuna ushamba kusema alipotoka, nafikiri angesema katokea kijijini usingemwita mshamba na usingejali ungempotezea tuu
Pia ningemuita ni mshamba vilevile.
Hoja yake wala haikua na haja ya umjini na ukijijini na ukizingatia vyakula hivyo vinapatikana mjini na sio kijijini.
Ndio maana ni mshamba, anatumia kigezo cha kua mjini, hawa tunawaita kina "kajua yote".
 
Uswazi nionyesha hapa osterbay wanauza wapi ?

Hayo madude machafu utayakuta kweny vilabu vya pombe na sehemu za walevi .πŸ˜‚

Kila kijiji lazima ukute hayo mambo kwanza ni bei rahisi sijui 1000.
Vijijini hamna hizo kijana, sasa uswazi kupo kijijini.

Njoo upige supu ya mapupu hapa, pembeni hapa kuna jamaa anachapa kongoro la nguruwe, unalijua hilo. Njoo upate afya kijana.
 
Umasikini si sifa ya kujisifia
 
Very inferior & POOR MIND
Mkuu ila kujua kuandika kiingerza, haimaanishi kuwa wewe ndiye mwenye akili mzuri, niku hakikishie tu Kongoro ni chakula kizuri kabisa.

Kama ni uchafu, hata nyama ya kawaida inaweza kuandaliwa mazingara machafu.
 
ngozi ya ng'ombe ni chakula kichafu, ila makongoro ni chakula kizuri sana. binafsi huwa nikipita sokoni nanunua makongoro mengi tu nampa waifu anayapika usiku, kesho asubuhi sote na watoto tunapiga supu, kuliko kwenda kula kwa waswahili (manake huwezi kuyakuta kwenye hotel au migahawa ya maana) ambako hujui wamepiga na kwa maji waliyosuuzia nyapu au la.
 
Mkuu ila kujua kuandika kiingerza, haimaanishi kuwa wewe ndiye mwenye akili mzuri, niku hakikishie tu Kongoro ni chakula kizuri kabisa.

Kama ni uchafu, hata nyama ya kawaida inaweza kuandaliwa mazingara machafu.
Sawa
 
Hayo madude yamenishinda kabisa kula na maude kama ulimi wa ng'ombe sijui senene watu wanatafuta kuharisha tu ...yanaandaliwa katika mazingira machafu ka nguruwe.
Tafadhali usimlinganishe nguruwe (a.k.a my wangu) na hayo mavitu ya ajabu ajabu
 
Vijana kufuga samaki ni fursa kubwa sana, ufugaji wake ni rahisi sana na hauhitaji capital kubwa, jiongezeni sio mnalia lia njaa tuu kila siku na kuajiriwa ajira za kimaskini
 
Vijijini hamna hizo kijana, sasa uswazi kupo kijijini.

Njoo upige supu ya mapupu hapa, pembeni hapa kuna jamaa anachapa kongoro la nguruwe, unalijua hilo. Njoo upate afya kijana.
🀧🀧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…