TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.

We will update this.

Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.

Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.

Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.

20231029_225457.jpg

IMG-20231029-WA0004.jpg

20231029_180241.jpg
 
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.

We will update this.

Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha,mchana huu,kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari,akaligonga lori kwa nyuma.
Pole sana familia, ndugu Jamaa na Marafiki.
Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya ndugu Daudi mahali anapostahili.
Amen.
 
Poleni sana na apumzike kwa amani.

Hii taarifa ingewekwa kwenye group la WhatsApp.
 
Back
Top Bottom