Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata gari haijulikani ni aina gani balaaaMarehemu Daud Makongoro inaonekana alikua speed ya kutosha
Alikuwa 180 huyu maana mmhh
Pole kwa Msiba wa Rafiki yako Mungu wetu yeye ni mfariji na yeye atakufariji kijana pole sana sana!
How do you access those groups when you are not a mmber1Tafuta huko kwenye magrupu ya WhatsApp
Ile ambayo ulipoteza maisha??Apumzike kwa amani..
mwaka jana mwishoni,nilipata ajari ya namna hiyo,bado akumbuka ile moment nishakubali matokeo kwamba hapa naenda kugonga, nikikumbuka nasisimka.
Mkuu hata pole kwa wafiwa hujatoa unaulizia picha?Picha
Mashed potatoHata gari haijulikani ni aina gani balaaa
Pole sanaImenitokea mara 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee ..Ile ambayo ulipoteza maisha??
Imeandikwa' mwenye haki ataanguka mara saba lakini atainuka tena, hivyo usinitishe sio lazima ufe kwa ajaliPole sana
Umejielekeza vibaya."Akaligonga lori kwa nyuma"
Watoto wa viongozi wafuate Sheria. Angefanya kosa dhidi ya mtu kesi isingefika mbali kwakuwa ukoo wake una madaraka.
Haya ndo yale ya Luteni Kanali wa kawe
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha,mchana huu,kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari,akaligonga lori kwa nyuma.
View attachment 2797058
View attachment 2797062
Ukute hajui nini maana ya kupoteza maisha,labda anajua maisha ni kifaa kama simu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee ..
Angepotezaa maishà angeandikaje ss hapa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaaa watu wamevurugwa mkuuUkute hajui nini maana ya kupoteza maisha,labda anajua maisha ni kifaa kama simu.