TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

Nashangaa mini sasa wakati ndugu zetu wawili mango na njeree wameshikiliwa na magaidi Hamas. Andamana sasa tukuone wewe siyo mnafiki.
Kuandama sio solution ,Hamas wamefanya makosa ya kuteka watu hovyo hilo sio jambo la kufurahia.

Lakini utashangaa migalatia ambayo inaona Hamas ni magaidi inafurahi ukatili na mauaji ya kutisha ya wasio na hatia Gaza huku ikitype "safi sana Israeli endeleeni kutoa dozi"
 
🙌🏿 haya bana
 
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.

We will update this.

Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.

Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.

Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.

View attachment 2797058
View attachment 2797062
Hapa alikua speed kama zote mpka gari haijulikani mbele ni wapi
 
N
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.

We will update this.

Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.

Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.

Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.

View attachment 2797058
View attachment 2797062
Naambiwa,mdogo wake Daudi,)Prince (Charles Nyerere)ni race-car driver,ambaye a months ago ameshinda mbio za magari Zambia.
Halafu pia huyu Prince ni rubani wa commercial aeroplanes.
 
Back
Top Bottom