jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Jibu hoja achaa matusi, kwa nini vijana wengi waliokulia Arusha tena wale wa familia bora,kwa nini wanapenda sana michezo ya kukimbiza magari!? Labda wwe siyo familia bora ndiyo maana hujui michezo yao ya racing cars! Wwe utakua umezaliwa huko Matejoo na ndiyo maana una mdomo mchafu kama simbilisi mzee!!Wewe Pumbavu mimi nimezaliwa Arusha, nimesoma, na nimeoa ARUSHA, na nimeamia Dar nikiwa na Miaka 38, marafiki zangu wote niliosoma nao na ninaowafaham wapo vizuri tu, na ambao hawapo vizuri kwa kwa hilo eneo.