Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUZIMU.Ulikuwa unakimbilia wapi ..?
Inaonekana alimaliza kisahani . Sasa sijui alikuwa highway au maeneo ya makazi maana hiyo collision siyo kitotoNi kweli kabisa hio ni full speed
Kwa hii picha na alivyosema mhabarishaji kua kaligonga lorry, basi mwendo kasi utakua unahusika hapa.RIP dogo.
Gari kubaki kama uyoga na hata kutojulikana aina yake hiyo ni over speed.Duuuu, vijana wanaacha wazazi, uchungu 😭😭 uchungu,
poleni
Yeye ndio kagonga roli kwa nyuma,alikua speed sana huwa ni mtu wa mbio..kapatia ajali mitaa ya kiserian arushaNasikia roli ndio limemgonga kwa nyuma mkuu.
Vijana wengi waliokulia Arusha wana kaushamba flani hivi ka kuendesha magari over speeding bila kujali usalama wao kwanza!!Namfaham, nimewahi panda gari lake once, niliposhuka nikamwambia kama tunaenda mahali nitaendesha mimi.
Vijana wengi waliokulia Arusha wana kaushamba flani hivi ka kuendesha magari over speeding bila kujali usalama wao kwanza!!
R.I.P ...Poleni familiaDaudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
View attachment 2797431
View attachment 2797058
View attachment 2797062
Wwe unawajua vizuri Ma chali wa Arusha!? Vijana wengi waliokulia Arusha ni Chizi Magari, wanapenda sana kukimbiza magari wakati tanzania vibarabara vyetu bado vyembamba sana kulinganisha na barabara za [emoji1221]Huu ni ujinga unaongea!!!!
Wwe unawajua vizuri Ma chali wa Arusha!? Vijana wengi waliokulia Arusha ni Chizi Magari, wanapenda sana kukimbiza magari wakati tanzania vibarabara vyetu bado vyembamba sana kulinganisha na barabara za [emoji1221]