Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Porini au kijijini hakukupi justification ya kukimbia bila sababu. Ona sasa kaingia chini ya uvungu.Btw hapo naona panaonekana ni maporini na sio mjini ndo maana alikuwa Kasi....??.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Porini au kijijini hakukupi justification ya kukimbia bila sababu. Ona sasa kaingia chini ya uvungu.Btw hapo naona panaonekana ni maporini na sio mjini ndo maana alikuwa Kasi....??.
Manyara alishahamishwa yupo Rukwa hukoMtoa taarifa amekosea tu ni RC Manyara
RC wa Rukwa ni Makongoro au ni aliefariki?Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
View attachment 2797431
View attachment 2797058
View attachment 2797062
🤣🤣🤣🤣Eti linadai huwa sipendi kuona gari mbele yangu! Pumbavu kabisa!
Kama wanawajua kuwa wanajificha nyuma ya Raia kwa nini wasiende kuWatarget wao Hamas na kuwachomoa nyuma ya Raia ?Sasa mkuu si walianzisha ugomvi.
Waambie waache kuvaa kiraia na kujificha nyuma ya raia hao unaowaita wasio na hatia.
Akuanzae mmalize ndio sheria ya uwanja wa vita
Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki.Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
View attachment 2797431
View attachment 2797058
View attachment 2797062
HAKUNA KUWACHOMOA NA HIYO SIO KAZI YA WANAJESHI VITANI.Kama wanawajua kuwa wanajificha nyuma ya Raia kwa nini wasiende kuWatarget wao Hamas na kuwachomoa nyuma ya Raia ?
Nyumba yako ,au Familia ikiwa kuna mwizi ni sawa mtu kupiga bomu nyumba nzima ?
Mtaa ukiwa kuna Panya Road ni sawa kuvamia na kuua Raia wote ?
Si ajabu Migalitia mingi ndio mlivyo mmemezeshwa chuki kubwa .View attachment 2797618
Nasikia roli ndio limemgonga kwa nyuma mkuu.Hiyo spidi so poa aisee mpaka chuma imebaki skrepa tu.
Tumemezeshwa chuki na Qur'an 2: 191 na Qur'an 8:12 na Qur'an 5:33 na Qur'an 9:30.!!!Kama wanawajua kuwa wanajificha nyuma ya Raia kwa nini wasiende kuWatarget wao Hamas na kuwachomoa nyuma ya Raia ?
Nyumba yako ,au Familia ikiwa kuna mwizi ni sawa mtu kupiga bomu nyumba nzima ?
Mtaa ukiwa kuna Panya Road ni sawa kuvamia na kuua Raia wote ?
Si ajabu Migalitia mingi ndio mlivyo mmemezeshwa chuki kubwa .View attachment 2797618
Roho ya marehemu Daud apumzike kwa amani.Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
View attachment 2797431
View attachment 2797058
View attachment 2797062
Mashuuda wanadai lori limemgonga kwa nyuma.Atakuwa alikuwa zaidi ya 200km/hr. Ujinga mtupu! Niliwahi kupanda gari ya jamaa mmoja anatokea Kahama anaenda Mwanza. Mshale ukawa unalazimishwa kuvuka 220 nikamwambia acha ujinga dogo, kama huna majukumu sisi wenzio bado tuna majukumu! Eti linadai huwa sipendi kuona gari mbele yangu! Pumbavu kabisa!
Looh, pole yake aiseeMashuuda wanadai lori limemgonga kwa nyuma.
Very sady
Nilimdhibiti!🤣🤣🤣🤣
Na ukaendelea baki ndani ya Gari hiyo..!!??
Ungemchapa makofi 🤣🤣Nilimdhibiti!
Halafu iwe amependeza kichwaniAlikuwa 180 huyu maana mmhh