TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.

We will update this.

Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.

Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.

Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.

View attachment 2797058
View attachment 2797062
Nacho jiuliza je hiyo gari ilikuwa ni zile za kuundwa bodi za Arusha? Mbona imesambaratika hivyo?
 
Pole nyingi sana kwa familia, mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema amjalie pumziko jema na furaha ya milele.

Ni bahati mbaya sana vyombo vyetu hivi vya usafiri tunavyo vitumia kwa mantiki ya kurahisisha baadhi ya mambo na kufanya maisha yawe na furaha vimegeuka na kutususababisahia maumivu na ugumu wa maisha.

Kama tukijaaliwa heri kununua magari magumu ili likitokea la kutokea athari ziwe ni ndogo.
 
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.

We will update this.

Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.

Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.

Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.

View attachment 2797431

View attachment 2797058
View attachment 2797062
...Habari za Kifo' cha Ghafla, Sote tunakuwa Faint- hearted.
Hakuna Shujaa wa Habari ya Kifo' cha Ghafla kinachotokana na ajali kama Hiki.
Wote tunapaswa kuwa Faint- hearted [emoji26]
 
Back
Top Bottom