Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ajali uisikie kwa wengine tuPole nakumbuka ulileta uzi,
Apumzike mahali pema na pole kwa familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajali uisikie kwa wengine tuPole nakumbuka ulileta uzi,
Apumzike mahali pema na pole kwa familia
Mungu aifariji familia kwa msiba huu mzitoDaudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha,mchana huu,kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari,akaligonga lori kwa nyuma.
Mbaya sana inaogofya ile hali ya kujua sasa naenda kufa,, halafu upone kila ukiingia kwa barabara kumbukumbu zinarudiAjali uisikie kwa wengine tu
Imenitokea mara 2Mbaya sana inaogofya ile hali ya kujua sasa naenda kufa,, halafu upone kila ukiingia kwa barabara kumbukumbu zinarudi
Wanawaacha bibi.Duuuu, vijana wanaacha wazazi, uchungu 😭😭 uchungu,
poleni
Rip kwakeDaudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha,mchana huu,kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari,akaligonga lori kwa nyuma.
Hongera na pole kwa kunusurika mara 2Imenitokea mara 2
RIP, picha pleaseWadau, Daudi Charles Nyerere (mtoto wa Charles Makongoro Nyerere) amefariki saa chache zilizopita kwa ajali ya gari iliyotokea hapa jijini Arusha. Taarifa zaidi baadaye.
Tafuta huko kwenye magrupu ya WhatsAppRIP, picha please
YooDaudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha,mchana huu,kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari,akaligonga lori kwa nyuma.
Well,gari yenyewe ndiyo hiyo. Iko