TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

Kuandama sio solution ,Hamas wamefanya makosa ya kuteka watu hovyo hilo sio jambo la kufurahia.

Lakini utashangaa migalatia ambayo inaona Hamas ni magaidi inafurahi ukatili na mauaji ya kutisha ya wasio na hatia Gaza huku ikitype "safi sana Israeli endeleeni kutoa dozi"
Sasa mkuu si walianzisha ugomvi.
Waambie waache kuvaa kiraia na kujificha nyuma ya raia hao unaowaita wasio na hatia.
Akuanzae mmalize ndio sheria ya uwanja wa vita
 
Pole nyingi sana kwa familia, mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema amjalie pumziko jema na furaha ya milele.

Ni bahati mbaya sana vyombo vyetu hivi vya usafiri tunavyo vitumia kwa mantiki ya kurahisisha baadhi ya mambo na kufanya maisha yawe na furaha vimegeuka na kutususababisahia maumivu na ugumu wa maisha.

Kama tukijaaliwa heri kununua magari magumu ili likitokea la kutokea athari ziwe ni ndogo.
Mkuu hata kama ingekuwa hammers kwa jinsi inavyoonekana alikuwa speed sana lazima ingesambaratika tu! Vijana waache ubitozi!
 
Mungu wangu alikuwa anaenda spidi ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alikuwa zaidi ya 200km/hr. Ujinga mtupu! Niliwahi kupanda gari ya jamaa mmoja anatokea Kahama anaenda Mwanza. Mshale ukawa unalazimishwa kuvuka 220 nikamwambia acha ujinga dogo, kama huna majukumu sisi wenzio bado tuna majukumu! Eti linadai huwa sipendi kuona gari mbele yangu! Pumbavu kabisa!
 
Back
Top Bottom