Makongoro Nyerere akutana na Jenerali David Musuguri

Hapa mpka sasa Ni wawili tu Mwigulu na Lowasa diyo
Wakweli wengine ni njaa tu




Walikuwa wapi siku zote..

Sasa hivi wanamwangushia lawama Kikwete.. nashangaa hata mawaziri nao eti ni wakosoaji wa mfumo uliopo..!??


Mtawezaje kujitoa na kuwa suluhisho la matatizo wakati ninyi wenyewe n sehemu ya tatizo..[/QUOTE]
 
 
 
Aliwazlo mpumbavu ndio limtokealo!!!!
 
Tunahitaji kumchambuwa kwa kina huyu Makongoro.

Wote ni wezi,hakuna atakaye toka ccm akawa muadilifu hata kidogo,labda ule usemi wa chama kimeshika dola uondolewe.lkn kama ccm itabakia kushika dola ,basi watoto wa viongozi hawatufai kupewa madaraka ya kutuongoza.
 
Wote ni wezi,hakuna atakaye toka ccm akawa muadilifu hata kidogo,labda ule usemi wa chama kimeshika dola uondolewe.lkn kama ccm itabakia kushika dola ,basi watoto wa viongozi hawatufai kupewa madaraka ya kutuongoza.

Huna hoja ila viroja

Jadili mada
 

Well Said!!
 
Ulikuwa una hoja lakini umeshindwa kuisimami na ndio maana walio wengi wamekudis ...q. sio kuwa ndani ya CCM hakuna watu wema, wazarendo, wenye kuweza kuwatendea haki wenzao...ndio kusema yaliyokea kwa Zitto ndani ya CDM sio kusema CDM yote ina haiba ya Zitto, Samson Mwigamba na Kitla Mkumbo ..au yaliyotokea CUF sio kusema haiba ya Mzee Hamad Rashid ni sawa na Wanacuf wote.Kugeneralize mambo ni ufinyu wa kujituma kujua ukweli wa jambo..

Kuna watu makini ndani ya vyama vyetu vya siasa kuanzia CCM, CDM, CUF, navinginevyo wana uwezo thabiti wa kupambana na matatizo mazito yanayotusibu kama Rushwa, Wizi, Ufisadi, Maendeleo...lakini jinsi ya kuwaweka na kusimamia Taifa.Kwa kuwa tunao walalamika kuwa wanalitafuna Taifa wako ndani ya MFUMO [System] wa Taifa letu.Wengine ni viongozi, watendaji wakuu, watendaji wadogo na hata wananchi wa kawaida.Na popote penye ufisadi au wizi fahamu kuna mahusiano ya kimaslahi pia ...na jambo linapo husu maslahi tambua lina husu hatima ya VITA katika kutengua hatima hiyo.

Tunaposema Taifa liko kwenye Mtanziko wa UFISADI NA RUSHWA ndio kusema sio Viongozi tu hata sie wananchi wa kawaida tuna mchango wetu kwa kuwa mfumo pia uliojengwa HAKUNA RAIA wa kawaida anae weza kusimama na kusema jambo la UFISADI na RUSHWA bila kusukwa sukwa na mfumo wetu.Hivyo kuna tatizo la kitaifa la Ufisadi na Rushwa lakini si kweli kuwa kila RAIA wa Tanzania ni mla Rushwa na Fisadi kama ambavyo wewe unavyotaka kutuaminisha kuwa Wanccm wote ni tatizo.Jenga hoja kwa misingi ya kujenga FACTS.
 
Kweli sina hakika kama kushiriki vita vya kagera ndo sifa ya uongozi

wapime upepo kwanza hadi sasa ni LOWASA ambae mjini na vijijini walifahamu kutangaza nia kwake,lkn bado mmoja ambae kila kona ya nchi hii wanaulizia ni lini.
 
Magazeti ya leo ccm kumewaka moto baada ya MAGUFULI kutangaza kutia nia,kila sehemu nchi nzima wanauliza ni lini,hadi nimeshanga nikakumbuka mbunge mmoja wa upinzani bungeni aliposema huyo ndo mkombozi wa ccm,(mb,machali)
 

Zakumi kafanya nini tena kule? Anakuleteani shida gani kule? Haya ngoja niwaachie great thinkers yenu na mimi nirudi huku uswekeni.

Anyway, kikatiba sifa za kuwa rais anazo. Sifa zilizobakia ni za ziada tu. Rais wa Tanzania hatakiwi kuwa technician au mkuu wa kamati ya ufundi.

Akitumia ujeshi wake na kufuata script anaweza kuwa rais mwenye mafanikio mazuri tu.
 

Kwani Ally Karume hii ni mara yake ya kwanza? Kama sitakosea 2005 alitangaza kugombea muungano. Na alisema kuwa akichaguliwa Ikulu ataipeleka mara moja Dodoma.
 


So far ni mapema kusema ni nani anafaa!! Given a choice among the known candidates from CCM I would rather vote for Magufuli!!
 
Kwani Ally Karume hii ni mara yake ya kwanza? Kama sitakosea 2005 alitangaza kugombea muungano. Na alisema kuwa akichaguliwa Ikulu ataipeleka mara moja Dodoma.

Ok,sina uhakika na hilo ila kwa safari hii kaingia ki mkakati zaidi,tuombe uzima ili wakati ukifika tushuhudie ukweli.
 

Mh. Makongoro Nyerere akiwa na Musuguri akipata baraka kabla ya kuelekea Dodoma kuchukua fomu ya Kugombea Urais.
 
Magazeti ya leo ccm kumewaka moto baada ya MAGUFULI kutangaza kutia nia,kila sehemu nchi nzima wanauliza ni lini,hadi nimeshanga nikakumbuka mbunge mmoja wa upinzani bungeni aliposema huyo ndo mkombozi wa ccm,(mb,machali)

Ccm hakuna aliye msafi
 

Mkuu hayo ni mawazo yako na huna haki yoyote ya kuzuia mtu mwingine kutoa mawazo yake,wewe kama unaishangilia ccm sawa na wanaoshabikia wapinzani ni haki yao.ccm wote ni majizi tu na hilo litabaki kuwa ni mtazamo wa kila mpenda haki ktk nchi hii,na hawatakiwi kupewa nafasi ya kuliongoza tena taifa letu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…