mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Kaa Ni Hendrew nakushauri Soma Tena kile kichwa akili zimezidi, hiyo sentensi isome Mara tatu utapata maana tatu tofauti na kuuamkuu, niliyasoma hayo kwenye uzi mmoja aliandika ndugu yake yule mzee yupo humu JF mtafute usome nyuzi zake anaitwa sijui Andrew
sio maneno yangu ni ya kwake, alafu ulisoma nae A level ? maana huyo mzee anasema ni wakati jamaa yupo A level nadhani ilikuwa ni Tabora huko kama sikosei, tafuta tu nyuzi za huyo ndugu yake usome
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kutohudhuria msiba huo , nimeepuka laanaHivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?
Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Kaa Ni Hendrew nakushauri Soma Tena kile kichwa akili zimezidi, hiyo sentensi isome Mara tatu utapata maana tatu tofauti na kuua
Ambao hatukuwepo tutaaminije Kama Hilo shati lilikuwa la CCM pengine la Yanga je? Au agharabu alivalia kaunda tutajueje? Au tukuamini tuu
Ambao hatukuwepo tutaaminije Kama Hilo shati lilikuwa la CCM pengine la Yanga je? Au agharabu alivalia kaunda tutajueje? Au tukuamini tuu
Uwongo mtupu huu; mimi nilisoma naye, alikuwa kiongozi wa bendi ya shule akiwa anapiga bass gitaa. Asingeua mtu huko mitaani asichukuliwe hatua.
Unaweza kuta hana Shati nyingine
Kaa Ni Hendrew nakushauri Soma Tena kile kichwa akili zimezidi, hiyo sentensi isome Mara tatu utapata maana tatu tofauti na kuua
😂😂😂🙏😂yule mzee nae huwa kuna kitu hakipo sawa, i heard aliwahi kuuwa enzi hizo yupo kijana, alitoroka shule akaenda mtaani huko na wenzie akamuua mlevi mmoja
Mzee makongoro nyerere anakipenda sana chama,,
Ila mungu nae fundi asee,,,huyo jamaa anapenda nyagi sana na mambo fulani,,ila bado yupogo strong...
Asilimia 70 ya mijadala ni kujadili watu. Umesahau Mwanakijiji alivokuwa akimshambulia Kikwete?Zamani tulikuwa tunajadili mada, hatukuwa tunajadili mambo yanayohusu watu binafsi; post hii iliandikwa ikiwa inamlenga makongoro. Haikuandikwa kutulenga sisi tuijadili.
Kwa mfano mwandishi angesema "Kitendo cha Makongonro kuvaa nguo za CCM kwenye mazisihi ni kizuri? "Hiyo ni mada mabayo tunayoweza kujadili. Lakini yeye ameiweka directed kwa Makongoro binafsi kwa kuandika hivi:
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao
Subiri atakapokuwa makaburini atampiga picha, usiondoke.Can you put the PHOTO please?
Utakonda mkuu. CCM bado ipo ipo sana. Wewe utakufa na utaiacha CCM inatawala. Wagombea wenyewe ndiyo akina Lissu!!Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?
Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.
Kama IQ's za wana CCM wote tena nyie mnaojiita Think Tanks / Great Thinkers hapa JF zipo hivi, sasa ninathibitisha Wapumbavu mmejaa tu huko.Utakonda mkuu. CCM bado ipo ipo sana. Wewe utakufa na utaiacha CCM inatawala. Wagombea wenyewe ndiyo akina Lissu!!
We jamaa nakuita mjinga. Unampangia mtu avae nini? Wewe hiyo nguo ya ccm inakuhusu nini?Kama IQ's za wana CCM wote tena nyie mnaojiita Think Tanks / Great Thinkers hapa JF zipo hivi, sasa ninathibitisha Wapumbavu mmejaa tu huko.
Kumbuka huyu huyu makongoro amewahi kuwa mpinzani. Kitu kama ni kibaya wacha kisemweWe jamaa nakuita mjinga. Unampangia mtu avae nini? Wewe hiyo nguo ya ccm inakuhusu nini?