Makongoro Nyerere kuvalia Shati la CCM katika Msiba wa Dada yako Rosemary wakati Makamu wa Rais tu hakuvalia hivyo umejifunza nini?

Makongoro Nyerere kuvalia Shati la CCM katika Msiba wa Dada yako Rosemary wakati Makamu wa Rais tu hakuvalia hivyo umejifunza nini?

mkuu, niliyasoma hayo kwenye uzi mmoja aliandika ndugu yake yule mzee yupo humu JF mtafute usome nyuzi zake anaitwa sijui Andrew
sio maneno yangu ni ya kwake, alafu ulisoma nae A level ? maana huyo mzee anasema ni wakati jamaa yupo A level nadhani ilikuwa ni Tabora huko kama sikosei, tafuta tu nyuzi za huyo ndugu yake usome
Kaa Ni Hendrew nakushauri Soma Tena kile kichwa akili zimezidi, hiyo sentensi isome Mara tatu utapata maana tatu tofauti na kuua
 
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?

Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kutohudhuria msiba huo , nimeepuka laana
 
Hilo chati sio la ccm wala yanga ni shati la makongoro
Ambao hatukuwepo tutaaminije Kama Hilo shati lilikuwa la CCM pengine la Yanga je? Au agharabu alivalia kaunda tutajueje? Au tukuamini tuu
 
Unaweza kuta hana Shati nyingine

Hapana, anayo mashati mengi, lakini hilo la ccm ndio liko kwenye hali nzuri maana kampeni ilikuwa juzi. Hivyo huenda amelazimishwa na familia avae hilo lenye hali nzuri.
 
Kaa Ni Hendrew nakushauri Soma Tena kile kichwa akili zimezidi, hiyo sentensi isome Mara tatu utapata maana tatu tofauti na kuua

Kama tu hata kuandika Andrew hujui, ni wazi akili yako ni kidogo mno... na hutoshi kushauri watu makini namna ya kuelewa uandishi wa 'Hendrew'.
 
Mzee makongoro nyerere anakipenda sana chama,,
Ila mungu nae fundi asee,,,huyo jamaa anapenda nyagi sana na mambo fulani,,ila bado yupogo strong...

mambo flani yapi mkuu ? , hiyo ya nyagi kuna jamaa aliwahi kusema humu kwamba jamaa alikutwa ana drive yupo maji
 
Zamani tulikuwa tunajadili mada, hatukuwa tunajadili mambo yanayohusu watu binafsi; post hii iliandikwa ikiwa inamlenga makongoro. Haikuandikwa kutulenga sisi tuijadili.

Kwa mfano mwandishi angesema "Kitendo cha Makongonro kuvaa nguo za CCM kwenye mazisihi ni kizuri? "Hiyo ni mada mabayo tunayoweza kujadili. Lakini yeye ameiweka directed kwa Makongoro binafsi kwa kuandika hivi:

Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao
Asilimia 70 ya mijadala ni kujadili watu. Umesahau Mwanakijiji alivokuwa akimshambulia Kikwete?
 
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani?

Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba ikae Kivyama ( Kisiasa ) wakati bahati nzuri Marehemu Dada yako Rosemary Nyerere alikuwa ni Mtu wa Kujichanganya na Kila rika la Watu na Makundi yao tofauti pia.

Utakonda mkuu. CCM bado ipo ipo sana. Wewe utakufa na utaiacha CCM inatawala. Wagombea wenyewe ndiyo akina Lissu!!
 
Utakonda mkuu. CCM bado ipo ipo sana. Wewe utakufa na utaiacha CCM inatawala. Wagombea wenyewe ndiyo akina Lissu!!
Kama IQ's za wana CCM wote tena nyie mnaojiita Think Tanks / Great Thinkers hapa JF zipo hivi, sasa ninathibitisha Wapumbavu mmejaa tu huko.
 
Back
Top Bottom