mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Kaa Ni Hendrew nakushauri Soma Tena kile kichwa akili zimezidi, hiyo sentensi isome Mara tatu utapata maana tatu tofauti na kuuamkuu, niliyasoma hayo kwenye uzi mmoja aliandika ndugu yake yule mzee yupo humu JF mtafute usome nyuzi zake anaitwa sijui Andrew
sio maneno yangu ni ya kwake, alafu ulisoma nae A level ? maana huyo mzee anasema ni wakati jamaa yupo A level nadhani ilikuwa ni Tabora huko kama sikosei, tafuta tu nyuzi za huyo ndugu yake usome