Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

Lazima wale maana Baba Yao kafanya mambo makubwa Africa ndiyo maana Mwl akapewa mpaka mitaa kwenye baadhi ya nchi za Africa kwaiyo watoto na wajuu wake Kula kulala kwa Kodi zetu ni sahiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Rushwa ni laana na adui mkubwa wa maendeleo:-JK Nyerere

Anataka kuongezewa zaidi!

Heri yako Mama Nyerere !
 




Hiyo inaonyesha kwamba Kikwete kashindwa kum control mkewe ndio maana anapayuka tu kama hivyo,ajabu analazimisha ku control hii nchi !!
 
 
Hiyo inaonyesha kwamba Kikwete kashindwa kum control mkewe ndio maana anapayuka tu kama hivyo,ajabu analazimisha ku control hii nchi !!
Na mimi niliwaza hivyo kwanza kamuaibisha ni kama vile mmewe hamtimizii mahitaji, najua kwenye hii issue kama angemshirikisha mmewe asingekubali kulisema bungeni.
 
Hiyo inaonyesha kwamba Kikwete kashindwa kum control mkewe ndio maana anapayuka tu kama hivyo,ajabu analazimisha ku control hii nchi !!
Mpeni heshima mzee Kikwete. Anaingiaje hapa sasa kwa maoni yaliyotolewa na Mbunge? Hata mnavyo mkosoa Mama Salma iwe kwa maneno ya heshima. Nimesoma comments nyingi humu lugha kali ya matusi imetumika. Si sahihi kabisa. Watanzania tuna ustaarabu wetu wa kujadili mambo.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kama nimeilewa hoja. Anasema wao wanaachishwa kazi ili ufanye kazi ya kuwa mwenza. Na hawapati mafao yao baada ya urais kuisha. Au nimeelewa vibaya?
 
Jamaa hana akili huyo wala usipoteze muda kulumbana naye. Watoto wa mwalim wako karibu sana na mama yao na wanamdhamini na siyo kama wanamtegemea.
 
Kikwete anaingia kwa vile ni mme wake hata mafao anayoyaomba ni kwa mgongo wa mme wake ambaye alikuwa rais.
 
Kikwete anaingia kwa vile ni mme wake hata mafao anayoyaomba ni kwa mgongo wa mme wake ambaye alikuwa rais.
Sawa ni mumewe. The issue is; Mama Salma kazungumza bungeni tena live siyo recorded, je, Mzee Kikwete angewezaje kumcontrol? Angewezaje kuota kama ataongea hivyo? Ifike hatua huyu Mzee tumlindie heshima yake. Alikuwa Mkuu wa nchi, Rais na Amiri Jeshi Mkuu. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwenye familia kuna masuala makubwa kama haya yanahitaji kujadiliana pamoja ndio yaende public hata kama kutatokea madhara muwe tayari kuyakabili kwa pamoja.
 
Familia na ukoo wa fisi wakikuta mzoga badala ya kula kistaarabu huanza kupigania mzoga na wakati mwingine kuumizana wao kwa wao....Tatizo ni nini hasa? Ulafi? Kudhurumiana? Kuonyeshana umwamba au njaa kali sana?
 
Sawa, yawezekana kaachana na mke wake KAKUOA wewe maana inaonekana unayajua ya ndani sana kuhusu Makongoro.
Nilikuwa naunga mkono tu hoja ikiyoletwa kuwa mama Maria nyerere hana makuu na kuthibitisha kuwa kweli hana mkauu

Vipi mbona unehamaki wewe ndie Makongoro kula kulala kwa mama yako au?
 
Una chuki binafsi na familia ya Mama Maria! Bila shaka yo yote wewe ni changudoa!
 
Una chuki binafsi na familia ya Mama Maria! Bila shaka yo yote wewe ni changudoa!
Changudo la kujiuza kwa watoto wa Nyerere wana nini cha maana? Hawana pesa wala maisha kula kulala kwa mama yao najiuza kwa ajili ya jina au ?

Makongoro mwenyewe alimwambia mama Samia kuwa uteuzi kapewa ukiuliza kufanya nini kikubwa unaambiwa mtoto wa Nyerere!!
Kwa hiyo nijiuze kwa jina tu kuwa huyu familia ya Nyerere!!!??

Mkewe Makongoro alimkimbia baada ya kuona kuolewa na jina la mtoto wa Nyerere kumbe hamna kitu!! Utakula Jina? Wakati wao wenyewe kula kulala kwa bili mama yao Maria Nyerere watampa nini changudoa wakati hata pa kulala pa kwao hawana wanalala kwa mama yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…