Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

Unakosa unachohitaji ndiyo sababu umekurupuka, ungepata yote uliyokunya hapa tusingeyajua! Kaa kwa kutulia!
 
safi.Ila mama salma ameniudhi ulafi huu haufai,mahela wanayo bado na zaidi.Jamani laana nyingine huja kwa ulafi.
 


Kama angekuwa ameweza kum control mkewe,hata huo ubunge wenyewe angemzuia huyo mkewe


Unaweza kuniambia kwenye ubunge mkewe anatafuta nini kwa sasa?


Kama alishindwa kusaidia watu akiwa first lady ndio ataweza sasa hivi akiwa mbunge?
 
Mkuu,umewasimanga hadi basi.Watoto hawakui kwa mzazi.🤔🤔🤔
 
Watanzania acheni nongwa. Ni kweli Msoga Gang wana mambo yenye kero kwa wananchi.

Lakini tusimhukumu Mama Salma kwa sisi kushindwa kumuelewa au kuelewa hoja yake. Mh. Salma anadai haki yake, yeye alikuwa mwalimu na akaachishwa kazi ili awe karibu na Rais. Je, asidai haki yake?

Yeye huyo kataka uwepo utaratibu wa kuheshimu fani au kazi ya mwenzi wa Rais...yaani wasiachwe tu bila kazi ya kufanya bali wapewe nafasi. Ikiwa wataachwa serikali iweke utaratibu nao kupewa chochote.

Huu utaratibu upo nchi zingine
 
Ila pigo hili ni type ya sgang kbs!! Umetoa milio yote 😂😂 lkn makongoro kwake Arusha madaraka yupo cnd. Machuki ya ki push gang achaneni nayo
 
Mbona kwa Magufuli hamtaki itumike lugha ya staha?acha wamtukane tu
 
Mbona kwa Magufuli hamtaki itumike lugha ya staha?acha wamtukane tu
Nawezaje kuanza kumjadili Hayati Dk. Magufuli ambaye hawezi kujibu chochote? Na unadhani nafurahishwa na baadhi wanavyofanya kwa Dk. Magufuli? Kiongozi aliyetumikia nchi kwa uzalendo kabisa na kuanza mapinduzi makubwa ya maendeleo kisekta watu wanamdhalilisha!

Ninachosisitiza ni ustaarabu wetu wa Kitanzania. Mwacheni mzee Kikwete apumzike. Imetosha sasa. Sisi tunamheshimu alikuwa Mkuu wa nchi, Rais na Amiri Jeshi Mkuu kwa miaka 10# Tukosoe kwa staha na kuheshimu viongozi wetu. 🙏🙏🙏
 
Mama Salma ajitafakari.
Wapiga Kura wake hawajamtuma kwenda kutafuta maslahi yake binafsi.hayo ni maslahi yake binafsi
 
Sio Bibi ndo anapenda familia Yake iwe hivyo?
unaweza ukaishi nyumbani kwenu lakini una kazi ya kufanya.
Mbaya ukiwa upo unakaa kwenu hata mia hauuingizi.
SI unaona Elon musk anakaa kwa marafiki zake nyumba hana
 
Watawala wanavyozidi kuchochea hisia za watawaliwa.

Ipo siku uvumilivu utawashinda. Na hawataamini kitakachowapata.

As no situation is permanent.

Wamejisahau sana.
 
Ndipo mtakaposhangaa labda hawa wenzi wana kikoba chao na Mh Mama Salma katumwa na wana kikoba wenzake awasemee kwa vile ni mbunge. Yote kwa yote hawa Major Generals wawili wa JWTZ waliopewa mbuzi jike mwenye mimba na Mama Maria Nyerere wamefanya nini kwa Mwl/ Familia ya Mwl kilicho sababisha hiyo zawadi.
 
Bill ya maisha kwa Maria Nyerere kwa wote popote walipo iwe Butiama,Msasani au Canada

Nyerere ana watoto nane jumla wawili nafikiri wamefariki sita wako hai bill kwake
Bill kwa mama kula kulala kwa mama
Mbona umeamua kuwachafua watu tena bila kosa? Huyo binti wa Mwl. na mume wake wapo Butiama wanaendesha hoteli
yao tena wanalima huko. Wametoa ajira kwa watu kadhaa kwenye biashara zao, halafu unakuja na kumsema vibaya humu! Makongoro umeambiwa siku zote yupo Arusha au umesahau/hujui aliwahi kuwa mbunge Arusha?
 
Na Andrew alikua rubani wa ndege za kijeshi.
 
Chuki ni sehemu ya DNA ya baadhi ya watanzania.
 
Ameonyesha alivyo mlafi sana.
Hiyo familia imekaa kifisadi sana.
Mama Nyerere na Janet Magufuli wamebarikiwa utulivu na hawana makuu.
Mkuu hata unaibu waziri wa Ridhiwani itakuwa ni presha ya Mama yake wa kufikia. Kuna mambo ya kijinga yanaendelea kufanyika nchini awamu hii ya sita na presha inatoka kwa huyo Mama na wengine wa aina yake.

Rais Samia ana wakati mgumu sana ni wa kumuombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…