coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,264
- 2,676
4=ineKabila la kiha limechangia sana kuharibu kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4=ineKabila la kiha limechangia sana kuharibu kiswahili
Ila mkuu mbona umecheka sana?Duuuu big up mzee baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao maarufu ndio wenye kusigina lugha adhimu ni aibu anavyoitafuna R badala ya L!Mada muhimu kama hizi huwaoni hao watu maarufu wa humu jamvini.
Inasikitisha uzi wa Agosti na bado ni kurasa 1, wakati huohuo kinachojadiliwa kinaamsha tafakari jadidi.
Kweli kabisa Mzee kifimbocheza.
Nitarara nao mberee badala ya nitala nao mbele...Habari za asubuhi wana JF?
Kumekuwa na tatizo la kiuandishi kwa watu wengi kuanzia humu JF mpaka kwingineko kote kwenye mitandao ya kijamii mwanzo nilidhani ni kujisahau lakini sasa naona kama imezoeleka na kuonekana kama ni maneno ya kawaida kwenye kiswahili na watu wala hawastuki kuona kama ni makosa,yaani makosa yakirudiwa rudiwa mara nyingi huzoeleka na kuonekana ni usahihi
Naomba nitoe mifano michache ya hayo maneno hapa chini;
Nisamee badala ya Nisamehe
Eshima badala ya Heshima
Asubui badala ya Asubuhi
Mdogo angu badala ya Mdogo wangu
Kiac badala ya kiasi
Awez badala ya Hawezi
Ujaacha badala ya Hujaacha
Uendelei badala ya Huendelei
Utamsikia Mtangazaji anasema Nyimbo hii badala ya kusema wimbo huu
Yako maneno mengi sana yanayopotoshwa na wadau wengi humu ndani,ombi langu tu ndugu zangu tubadilike tuandike maneno kwa usahihi wake kwa sababu humu ndani panapitiwa na wanafunzi kuanzia Shule za Msingi,Sekondari na hata Vyuo wanajifunza nini juu ya tunayoyaandika humu?
Eti hapo ndio tunawadharau Wakenya hawajui Kiswahili hawajui kiswahili wakati sisi wenyewe ndio tunavuruga tu.
Ni hayo tu wadau muwe na Jumapili njema
Asante!
Hahahaha hapo mwisho umenichekesha sana mkuu.Nitarara nao mberee badala ya nitala nao mbele...
Mmenichagua niwafanzie kazi badala ya niwafanyie kazi...
Msiwabomoleshee badala ya msiwabomolee...
Zitingiziki badala ya sitingishiki...
Jiwe badala ya John...
Mmoja wao ni weweMkuu lengo kuu la kuwa na lugha ni kisaidia mawasiliano.
Kwahio basi as long as tukiongea tunaelewana basi hio lugha ni sahihi.
Sisi ni binadamu kwahio kamusi zinatakiwa kutufwata sisi na sio sisi kuzifwata kamusi..
Onyo-maonyesho
Ona-maonesho.
Kwa upande wa kibiashara ni maonesho
😀 ni kweli redio=redioHata wewe sasa hapo kwenye maredio , hatuna neno hilo. Haya mambo ya umoja na uwingi lazima uwe makini kwenye maneno kama sufuria......, mbwa......, jiko....... na hapo uwingi wa jiko ni nini? (sidhani kama litakuacha salama neno hilo)
Habari za asubuhi wana JF?
Kumekuwa na tatizo la kiuandishi kwa watu wengi kuanzia humu JF mpaka kwingineko kote kwenye mitandao ya kijamii mwanzo nilidhani ni kujisahau lakini sasa naona kama imezoeleka na kuonekana kama ni maneno ya kawaida kwenye kiswahili na watu wala hawastuki kuona kama ni makosa,yaani makosa yakirudiwa rudiwa mara nyingi huzoeleka na kuonekana ni usahihi
Naomba nitoe mifano michache ya hayo maneno hapa chini;
Nisamee badala ya Nisamehe
Eshima badala ya Heshima
Asubui badala ya Asubuhi
Mdogo angu badala ya Mdogo wangu
Kiac badala ya kiasi
Awez badala ya Hawezi
Ujaacha badala ya Hujaacha
Uendelei badala ya Huendelei
Utamsikia Mtangazaji anasema Nyimbo hii badala ya kusema wimbo huu
Yako maneno mengi sana yanayopotoshwa na wadau wengi humu ndani,ombi langu tu ndugu zangu tubadilike tuandike maneno kwa usahihi wake kwa sababu humu ndani panapitiwa na wanafunzi kuanzia Shule za Msingi,Sekondari na hata Vyuo wanajifunza nini juu ya tunayoyaandika humu?
Eti hapo ndio tunawadharau Wakenya hawajui Kiswahili hawajui kiswahili wakati sisi wenyewe ndio tunavuruga tu.
Ni hayo tu wadau muwe na Jumapili njema
Pengine sasa huenda tunaanza kuamka/kuamshwa kutoka usingizini. Maneno mengi tumeyapuuzia sana kiasi sasa yanachukuliwa kuwa ni matamshi sahihi. Hebu fikiria neno 'kudondoka' na matumizi yake kwa maji na binadamu!
Huyu ni mimi...kwenye election nasema erection!Afadhali ya hao kuliko wale wa R anaweka L inatia kinyaa!
Ninakoenda ni mbali,'Ninapoenda ni mbali',
'Ninakoenda ni mbali'.
Nisaidieni kuzitofautisha hizi sentensi
Shikamoo kaka 🙏🙏🙏🙏Wanawake nili-O-WA-ona...
Angalia mfuatano wa viambishi vifuatavyo katika hicho kitenzi.
NI= Kiambishi cha nafsi (wewe uliyewaona)
LI = Kiambishi cha wakati uliopita.
O = Kiambishi kirejeshi nafsi mtendwa cha wingi ( nili-O-waona = wale wengi wanawake) tofauti na nili-YE-muona (nafsi mtendwa umoja)
WA=Kiambishi kirejeshi nafsi mtendwa. (Wanawake)
ON= mzizi wa kitenzi.
A= Kiambishi tamati.
NI-LI-O-WA-ON-A
NILIOWAONA.
Yaka
Hili linanikera sana, utaona MTU anaandika "Tafafhari" badala ya Tafadhali, "Ugari" badala ya ugali.Afadhali ya hao kuliko wale wa R anaweka L inatia kinyaa!
Nilijua kuna watu wataingia chaka ila sasa aliekuwa anatakiwa kupatia kumbe amekaa mstari wa mbeleIla mkuu mbona umecheka sana?
Hahahahahahahaha inaitwa majikoNilijua kuna watu wataingia chaka ila sasa aliekuwa anatakiwa kupatia kumbe amekaa mstari wa mbele