Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tuli na ndio tunateseka mpaka leo kwa kosa lile
Wewe hujui tupo hapa kwa sababu ya MagufuliLakini Magufuli ndio Rais Bora nchi imewawahi kupata
Naunga mkonoMimi naona kosa kubwa zaidi lilifanyika kwenye uteuzi wa mgombea mwenza! Vigezo vilivyotumika vitalitafuna Taifa kwa miaka mingi sana kutokana na athari zake.
Si unaona mzimu wake mpaka Leo unawazuzuaWewe hujui tupo hapa kwa sababu ya Magufuli
Takataka za CCM hazihitajiki Tz.Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
Huyu aliepo is a replica ya wa MaguWewe hujui tupo hapa kwa sababu ya Magufuli
Kosa kubwa lilifanyika 2005Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
Rais bora?Lakini Magufuli ndio Rais Bora nchi imewawahi kupata
Kuna watu hayo makosa ndo ulaji wao,kikwete mwenzio hapo anakula tu,meno yote njeMimi naona kosa kubwa zaidi lilifanyika kwenye uteuzi wa mgombea mwenza! Vigezo vilivyotumika vitalitafuna Taifa kwa miaka mingi sana kutokana na athari zake.
Hii komenti akiisoma mtu mwenye utimamu wa akili lazima akushangae sana. udikteta wa huyu wa sasa hauna ulinganifu na kiongozi yeyote aliyewahi kutawala hapa Tanzania.Huyu aliepo is a replica ya wa Magu
Uteuzi wa Magufuli ilikuwa kujaribu kuokoa nyumba inayowaka moto tayari.Wewe hujui tupo hapa kwa sababu ya Magufuli
Acha bangi 😆Lakini Magufuli ndio Rais Bora nchi imewawahi kupata